Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Dully Sykes a.k.a Mr Misifa a.k.a Hendisamu...
 
Mi nawakubali Q chief , Dully ,Jide na Juma Kassim.
 
1.nature
2.duly sykes
3.late ngwea
4.kiba
5.qchillah
6.jide
7.blue
8.tid
 
Ally Kiba ni hatari sana huyu kijana kwenye corus, ukimpa colabo ujui imeshakula kwako lazima akufunike.
 
Kiukweli juma nature na Ali kiba ndo the best of all times kwenye chorus mazee
 
***** imebidi niiingie youtube niangalie ngoma za Nature alizoshirikishwa,hii kaimba na Sqeeza naja ni noma mazee
Duh ile ngoma naja ya squizer na nature inanikumbuaha mbali sana..kipindi hicho tulikuwa na ubishi na hasira ya shule mbaya dah..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom