Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

1-Nature
2-belle 9
3-ben pol
4-g warawara the kankara
5-dully Sykes
 
ben pol,mavoko,g nako,nahreel,al kiba hata banana
 
Nipo hapa kwa pembeni naufuatilia huu uzi.

Takwimu zinaonyesha mpaka sasa Juma nature anaongoza akifuatiwa na G Nako
 
Duh Mungu aturehemu. Nimekumbuka sentensi inayosema "Penye Uongo_Ukweli hujitenga" nyie watu mmesahau kwamba kuna nyimbo za Dini, Qaswida, Taarab, Zakihind, Leggae zote hizi ni zakibongo. Naona mmejitenga na uso wa Mungu!???????????????

Mi naona "Bahati Bukuku" ni mkali wa chorus kwenye nyimbo za Bony mwaitege!!!!!!. Tuwe tunataja na za dini zetu jamani, naona mmekomaa na akina alikiba tu! lohhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Mnamsaliti Mungu, utakuta unaandika majina hayo mengine mara unakufa kwenye keyboard yako papo kwa hapo! sijui utajibu nini kwa YAWE?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom