Nani mama wa mtoto huyu?

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Challenge your mind.
Toa sababu kwanini A au B
FB_IMG_15918374356076804.jpg
 
Mtoto ni wa Mama A. Kwa sababu
1. Mtoto anajiamini sana kumpa mgongo mama yake kwani anaamini kuna usalama. Mtoto macho yake yanamwelekea asiye mama yake incase kuna madhara akimbilie kwa mama yake ambaya ni A na hivyo kufanya jumla ya macho yanayomwangalia asiye mama kuwa 4 (2 ya mama na mawili ya mtoto).
 
Mtoto ni wa huyo mdada aliyevaa suruali kwa sababu...
  1. Maziwa yake yapo round kumaanisha kavaa bra ili kuyaboost maana yamelala ajili ya kunyonyesha ya mdada mwingine ni mchongoma
  2. Huyo mdada kavaa gauni ili aonekane kama ndio mama wa mtoto ili kutudistract sisi tukurupuke kutoa jibu. Ila mtoto ni wa huyo mwenye suruali.
  3. Mtoto kageuka kwa huyo mwenye suruali ili itufanye tutumie akili kubws kugundua eti mtoto ni wa mwenye gauni kwasababu mtoto hajamgeukia. Ila ukweli hapo inahitajika akili ndogo kugundua kua huyo mtoto kageuka kweli kwa mama.
Nitarudi
mara nyingi mtoto anapenda kucheza mbele mgeni ili wamuone jinsi alivyo mahili.,au Unasemaje hapo
 
Kwa kuangalia sitting posture ya B anaonekana kama ni mtu mwenye wasiwasi na mnyenyekevu na ndiye mama wa mtoto.

Anasikikiza maelekezo kwa A ambaye anaonekana amevaa kiofficial na posture yake ni ya kisomi/ mandate/confidence. Akitoa maelekezo kwa mama wa mtoto.
 
Mtoto ni wa Mama A. Kwa sababu
1. Mtoto anajiamini sana kumpa mgongo mama yake kwani anaamini kuna usalama. Mtoto macho yake yanamwelekea asiye mama yake incase kuna madhara akimbilie kwa mama yake ambaya ni A na hivyo kufanya jumla ya macho yanayimwangalia asiye mama kuwa 4 (2 ya mama na mawili ya mtoto).
Umetoa sababu genuine ya mzazi, kwa mtu ambaye amewahi kuzaa/kulea atakubaliana na reasoning yako. Kwa kawaida mtoto huwa very attentive na stranger na hivyo hawezi kumpa mgongo. Naunga mkono mama wa mtoto ni A.
 
Back
Top Bottom