Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Kongoleeee,mi nahisi umeongea kitofauti.... kawaida mtoto anapenda kumuelekea mtu anayemjua kwani kihisia mtoto huwa anajiona yuko salama kukiwa katika kundi la watu yuko mtu anamfahamu. so kwa umri wa huyo mtoto bado hajajenga dhana ya kuwa atakuwa salama akimpa mgongo mtu anayemfahamu awe face to face na mtu mgeni....... hapo naona umempa IQ kubwa sana huyu mtoto kuliko umri wake. yaani umempa akili za kiukubwa... kama una mtoto mdogo angalia mkiwa mazingira mageni hawezi kumaliza dakika kadhaa hajamuangalia aliekuja nae. na yuko comforatble akiwa kamuelekea mtu anamfahamu kwa maana movment yoyote atakayoifanya huyo mtu kama vile kuondoka itamshtua. ni swala ambalo lipo naturaly.
mama wa mtoto ni B
Wazazi tunajua haya mambo,


