Nani mama wa mtoto huyu?

Nani mama wa mtoto huyu?

Bila sababu jibu lako haliamini labda una masilai na B.
Nimetizama vizuri, mtoto ni wa A , sababu B anaonekana ni dada mlezi wa mtoto hivyo anaonekanà yupo ofisini kwa B kampeleka kunyonya kwa mama yake
 
Nimetizama vizuri, mtoto ni wa A , sababu B anaonekana ni dada mlezi wa mtoto hivyo anaonekanà yupo ofisini kwa B kampeleka kunyonya kwa mama yake
😂😂😂😂angalia vizuri utaoata jibu tofauti na hili
 
lakini A amekaa mkao wa ku relax hana wasiwasi na mtoto anajua yupo salama kimanzingira
Hiyo ndio tofauti yao sasa, ukiwa na mtoto mdogo huwezi kurelax ukikaa sababu muda wowote anaweza kufanya tukio la hatari, kwa mzazi ni lazima awe makini kuanzia mkao wake hadi kumtazama.
 
Hiyo ndio tofauti yao sasa, ukiwa na mtoto mdogo huwezi kurelax ukikaa sababu muda wowote anaweza kufanya tukio la hatari, kwa mzazi ni lazima awe makini kuanzia mkao wake hadi kumtazama.
A nilidhani anamjua mwanae sio mtundu,Kwaiyo hana wasiwasi au!
 
Kwa umbali huo mi nadhani mtoto hawezi kuwa na wasiwasi na kuondokewa na mama yake ni karibu mno kwa woto A na B
Tatizo wengi hamjaelewa swali, FBI CLASSIC TEST, sasa hapo habari za beki 3 sijui zinakujae halafu niwaambie tu, mama mwenye mtoto mdogo lazima ataonekana hivyo alivyo, hawezi kua na muda wa kujimake up, na kujipulizia perfume for the sake of the child, kwa hiyo mtoto ni wa B, mama anayejua maana ya kulea.
 
FBI wa buza bado mnamtafuta mama mtoto..😂
Kweli nimeamini ushushu ni sawa na kuwa mmbea tu!
Kazi njema ma FBI wa buza..😜😅
 
FBI CLASSIC TEST
mwisho wametuambia
Measure your inborn character

Bila shaka nimekusaidia kukuelewesha zaidi,tafakari tena
 
FBI wa buza bado mnamtafuta mama mtoto..😂
Kweli nimeamini ushushu ni sawa na kuwa mmbea tu!
Kazi njema ma FBI wa buza..😜😅
😂😂😂😂baba wa mtoto karibu kuturahisishia jawabu.
 
Ni mtoto wangu huyo nimemuacha na wageni nimeenda kuwafatia soda
 
Mtoto ni wa Mama A. Kwa sababu
1. Mtoto anajiamini sana kumpa mgongo mama yake kwani anaamini kuna usalama. Mtoto macho yake yanamwelekea asiye mama yake incase kuna madhara akimbilie kwa mama yake ambaya ni A na hivyo kufanya jumla ya macho yanayomwangalia asiye mama kuwa 4 (2 ya mama na mawili ya mtoto).

mi nahisi umeongea kitofauti.... kawaida mtoto anapenda kumuelekea mtu anayemjua kwani kihisia mtoto huwa anajiona yuko salama kukiwa katika kundi la watu yuko mtu anamfahamu. so kwa umri wa huyo mtoto bado hajajenga dhana ya kuwa atakuwa salama akimpa mgongo mtu anayemfahamu awe face to face na mtu mgeni....... hapo naona umempa IQ kubwa sana huyu mtoto kuliko umri wake. yaani umempa akili za kiukubwa... kama una mtoto mdogo angalia mkiwa mazingira mageni hawezi kumaliza dakika kadhaa hajamuangalia aliekuja nae. na yuko comforatble akiwa kamuelekea mtu anamfahamu kwa maana movment yoyote atakayoifanya huyo mtu kama vile kuondoka itamshtua. ni swala ambalo lipo naturaly. mwisho utaona mkao aliokaa huyu B.. mkao wa A yuko relaxed ila B yuko mkao wa kuweza kureact kwa chochote... hapo inamaana anamjua mwanae mtu wa kias gani.. ama hicho anachochezea asije akakiweka mdomoni au akakishika vibaya then anamuwah kwa haraka

mama wa mtoto ni B
 
Mtoto ni wa Mama B kwa sababu wanafanana pua. Pua zao ni fupi wote. Mama A pua yake ni ndefu
 
Back
Top Bottom