Nani mama wa mtoto huyu?

Nani mama wa mtoto huyu?

B ndie mama mtoto, angalia the way amekaa kwenye kiti na miguu yake alivyoiweka, yupo attention incase jambo lolote likitokea kwa mtoto inakua rahisi kumfikia.
Ha ha hah si atakuwa wa kwanza kuanguka sasa.
 
B ndie mama mtoto, angalia the way amekaa kwenye kiti na miguu yake alivyoiweka, yupo attention incase jambo lolote likitokea kwa mtoto inakua rahisi kumfikia.
lakini A amekaa mkao wa ku relax hana wasiwasi na mtoto anajua yupo salama kimanzingira
 
Mtoto ni wa A... kwasababu mtoto anajaribu kumuonesha mgemi ambae ni B kitu ambacho amefunwa na mama ake ambae ni A.. kwa lugha ingine mtoto ana mshobokea mgeni amabe ni B
mtoto anapenda kucheza na mtu aliyemzoea huoni km anachofanya mtoto kama anajalibu kwa kusisitiza kumuonyesha kitu B ambacho walikuwa wanafanya pamoja?
 
Huyo mtoto ni mama B,kwasababu mtoto amegeukia upande huo, hii ni moja ya tabia za watoto wadogo ili kujihakikishia usalama wao,lkn pia ili kuona vizuri km mama bado yupo au lah!.
Kwa umbali huo mi nadhani mtoto hawezi kuwa na wasiwasi na kuondokewa na mama yake ni karibu mno kwa woto A na B
 
B ndio mama angalia ziwa limelala kwa sababu ya kunyonyesha.
Kuna wanawake wengine wanamaumbile kama wanamtoto vile na pengine anaweza kuwa mnyonyeshaji tu lakini si mama yake.
 
B ndiye mama kwauwa macho yake yako kwa mtoto ikimaanisha yuko worried kuhusu mwanae anataka kuwa na hakika kuwa yuko safe wakati wote
A na B wametazamana,hayupo anaemuangalia mtoto.
 
Kwa kuangalia sitting posture ya B anaonekana kama ni mtu mwenye wasiwasi na mnyenyekevu na ndiye mama wa mtoto.

Anasikikiza maelekezo kwa A ambaye anaonekana amevaa kiofficial na posture yake ni ya kisomi/ mandate/confidence. Akitoa maelekezo kwa mama wa mtoto.
Kama imeingia kidogo, em ngoja niendelee kutafakari
 
Mtoto ni wa Mama A. Kwa sababu
1. Mtoto anajiamini sana kumpa mgongo mama yake kwani anaamini kuna usalama. Mtoto macho yake yanamwelekea asiye mama yake incase kuna madhara akimbilie kwa mama yake ambaya ni A na hivyo kufanya jumla ya macho yanayomwangalia asiye mama kuwa 4 (2 ya mama na mawili ya mtoto).
mtoto anapenda kucheza na mtu aliyemzoea huoni km anachofanya mtoto kama anajalibu kwa kusisitiza kumuonyesha kitu B ambacho walikuwa wanafanya pamoja?
 
Huyo B ni beki tatu.. na mama yake ni A. Mtoto anatumia mda mwingi kuwa na beki tatu
Hayupo anaejua kazi A au B,anaeza kuwa na beki mda mwingi lakini wakiwa wote kwa pamoja mtoto anamshobokea mama kwasababu ya nyonyo na anakuwa na hamu nae.
 
Mtoto ni wa huyo mdada aliyevaa suruali kwa sababu...
  1. Maziwa yake yapo round kumaanisha kavaa bra ili kuyaboost maana yamelala ajili ya kunyonyesha ya mdada mwingine ni mchongoma
  2. Huyo mdada kavaa gauni ili aonekane kama ndio mama wa mtoto ili kutudistract sisi tukurupuke kutoa jibu. Ila mtoto ni wa huyo mwenye suruali.
  3. Mtoto kageuka kwa huyo mwenye suruali ili itufanye tutumie akili kubws kugundua eti mtoto ni wa mwenye gauni kwasababu mtoto hajamgeukia. Ila ukweli hapo inahitajika akili ndogo kugundua kua huyo mtoto kageuka kweli kwa mama.
Nitarudi
Maziwa ya Uwoya yakoje?!
 
Back
Top Bottom