Elections 2010 Nani kuiwakilisha CHADEMA 2010?

huyu hajawa mgombea wa chadema, alichosema ni kuwa anaweza kujitokeza kugombea kupitia chadema!
 
Chadema should show political maturity by forgetting past wrangles and proceed to endorse Lipumba as the presidential candidate.
 
chama gani kimeshamtangaza rasmi mgomea wake??nadhani atatangazwa muda ukiwadia.Kama ambavyo mgomea wa CCM atatangazwa rasmi mara baada ya kujieleza na kupitishwa na Mkutano Mkuu wa Chama hicho.Tuvute subira
 
Ni muhimu kujua mapema ili tuweze kutambua ugumu au urahisi wa kazi ya kumnadi, na kama anajiuza basi tuanze kumsaidia kupanga baraza la mawaziri mapema, october sio mbali kihivyo mkuu!
 
Inawaumiza kichwa - eeeeeeh?
Unapocheza karata unatakiwa kuficha karata zako hasa zile zenye mshiko hivyo ndivyo Chadema wanavyofanya watu wanabaki kuulizana Bibi yuko wapi na Bwana nani analo, sasa wewe ukitangulia kumcheza Bwana(ACE) au bibi na kuficha magalasa nyuma utashinda kweli.
 
Ni dhambi kugombea Urais,halafu kura zikihesabiwa unapata kura hamsini. Kwa sababu ukishapata kura hamsini watu watasema,'Huyu mtu kagombea Urais,lakini kapata kura hamsini tu,sasa kwa nini aligombea? Ni maringo tu.''
 
yANAWAUMA SANA; PILIPILI USIOILA INAKUWASHIANI? RATIBA BADO; MUDA BADO; UCHAGUZI NAKAMMPENI BADO; PRESHA ILI MUANZE KUMCHAFUA;
HERI KUCHAGUA MBUZI WA CHADEMA KULIKO KUMCHAGUA MWANA-CCM KTK KITI CHOCHOTE
 
Subirini makubwa na mtikisiko around this month............ Najiandaa kuchukua likizo nisimame jukwaani.
 
Luteni,

Ni kweli kwamba mnasubiri makapi ya CCM? Kuna tetesi hapa kwamba mgombea wenu wa urais atatoka miongoni mwa wabunge wa CCM.

Hizo ni habari za vijiweni lakini ukumbuke kuwa hakuna makapi katika siasa..Fuatilia rekodi za wanamageuzi wote walikotokea..Hata Dr Slaa ni zao la CCM..
 
Dont give pressure Chadema to decide...Let them sit and think wide nani atakuwa mwakilishi wao...ila kwa sasa wanapokea Michango yenu ya Uchaguzi.
 
Back
Top Bottom