Nani kuikabili CCM Ngara 2015 kati ya Dk Ssebuyoya na Dk Bujari?

Mabunu

Member
Oct 17, 2012
33
13
Ndugu wanajamvi, katika jimbo la Ngara ambalo kwa sasa liko chini ya Chama cha Mapinduzi, kuna Madaktari wawili ambao wameonesha dhati kwamba wanataka kulichukua jimbo hilo kupitia CHADEMA mwaka 2015

Lakini bado napata shida sana kujua nani ni nani kati ya Makada hao wawili wa CHADEMA

Dk Gresmus Ssebuyoya, ni mwanachama wa siku nyingi wa CHADEMA na ametumia nguvu nyingi katika kuiimarisga CHADEMA wilaya ya Ngara hata vijijini

Dk Peter Bujari amehamia CHADEMA tarehe 28 December 2013 akitokea CCM ambako alipigwa chini katika kura za maoni ya ubunge mwaka 2010, lakini bado anaonekana ana mvuto sana na ushawishi kwa wananchi.

Sasa swali linakuja, je, nani anafaa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kati ya huyu aliyekijenga chama na huyo mwenye mvuto?
 
Muda bado kijana presha ya nini.!

"ila maoni tu"
dk.peter bujali ni mtu makini sana,swala la kufaa au kuto kufaa tusubiri muda ufike.

Dk.gresmus sebuyoya ana pupa ya madaraka na anafika mahali ana shirikiana na c.c.yemu ili kumhujumu kamanda mpiganaji staphord,

mfano juzi wali.changa mafedha kama ml.2 ili kumhujumu bwana staphord lakini mpango ukabumbuluka mapema sana!

Hivyo ikiwa kweli sebuyoya anataka kuwa mgombea.

Na mshauri kijana wangu atumie siasa nzuri za ndani ya chama kujiimarisha na asipochaguliwa awe mpole ili kujenga vizuri chama chetu makini chadema!
 
Acheni umbea jengeni chama.nani kakwambia Dr.Bujari ni kiongozi makini?labda wa familia yake
 
Mbona Simoni Bujari nae hujamsema?au kaamua kumwachia Mdogo Wake Dr.Bujari?Angalieni,ngara siyo ya familia ni ya wana Ngara
 
Hii hoja nahisi itakuwa bayana mda ukifika kwa kufata kanuni za chama kwahiyo vuta subra kijana,sahivi tunakomaa na CDM ni msingi kwanza mambo mengine kausha.
 
Baadhi ya wanasoka waliowahi kuichezea timu ya taifa ya UGANDA ni Ssemugabi, Ssemwogerere, Ssenyonjo, Sserunkuma, Ssemukula etc. Huyu mgombea mtarajiwa anaitwa Sse nani?
 
acheni umbea jengeni chama.nani kakwambia dr.bujari ni kiongozi makini?labda wa familia yake

kijana wangu tumia lugha nzuri basi! Siyo kila mtu ni wa kutukana tu, hili ni jukwaa la great thinkers na siyo fb.

Ukoo mzima wa akina bujari ukiwa chadema hiyo ni nzuri,
kuliko wengine wawe wachumia tumbo wa c.c.yeem na wengine wawe wanaukombozi.

Hiyo ni mbaya kwani inakuwa rahisi kusalitiana!
 
Lengo kuu ni chama siyo familia.Chama kwanza.isiwe kama ya familia ya kikwete na CCM.Baba mwenyekiti,mama mjumbe kamati kuu,mtoto mjumbe kamati kuu,shangazi,mjomba na mke mdogo.
 
Swala LA kuikabili CCM tulisubiri Laja. Nadhani madaktari hawa wawili wanafanana kwa udaktari, lakini Bujari ana zaidi ya udaktari. Mila kitu Bujari anachofanya anafanya kwa hesabu, lakini Do. Sebuyoya anafikiri Ngara ni ile ya zamani ya kuhonga pombe.

Ukitaka kujua umahili Wa hawa wawili, ingia kwenye mtandao andika Dr. Bujari uone kazi na heshima aliyonayo duniani.... So Tanzania Pekeyake. Ukiandika Dr. Sebuyoya utaishia kupata kashfa ya Murugwanza.

Let the wisdom speak!

Muda bado kijana presha ya nini.!

"ila maoni tu"
dk.peter bujali ni mtu makini sana,swala la kufaa au kuto kufaa tusubiri muda ufike.

Dk.gresmus sebuyoya ana pupa ya madaraka na anafika mahali ana shirikiana na c.c.yemu ili kumhujumu kamanda mpiganaji staphord,

mfano juzi wali.changa mafedha kama ml.2 ili kumhujumu bwana staphord lakini mpango ukabumbuluka mapema sana!

Hivyo ikiwa kweli sebuyoya anataka kuwa mgombea.

Na mshauri kijana wangu atumie siasa nzuri za ndani ya chama kujiimarisha na asipochaguliwa awe mpole ili kujenga vizuri chama chetu makini chadema!
 
chunguzeni uraia wa wote wawili kwanza. Jina la kwanza kama la rais wa zamani wa burundi!
 
Upo sahihi...ila pia bora tu wasiwe watutsi kama mbunge wao wa sasa!...watutsi wana agenda zao za kutengeneza bahima empire...
 
Ndugu wanajamvi, katika jimbo la Ngara ambalo kwa sasa liko chini ya Chama cha Mapinduzi, kuna Madaktari wawili ambao wameonesha dhati kwamba wanataka kulichukua jimbo hilo kupitia CHADEMA mwaka 2015

Lakini bado napata shida sana kujua nani ni nani kati ya Makada hao wawili wa CHADEMA

Dk Gresmus Ssebuyoya, ni mwanachama wa siku nyingi wa CHADEMA na ametumia nguvu nyingi katika kuiimarisga CHADEMA wilaya ya Ngara hata vijijini

Dk Peter Bujari amehamia CHADEMA tarehe 28 December 2013 akitokea CCM ambako alipigwa chini katika kura za maoni ya ubunge mwaka 2010, lakini bado anaonekana ana mvuto sana na ushawishi kwa wananchi.

Sasa swali linakuja, je, nani anafaa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kati ya huyu aliyekijenga chama na huyo mwenye mvuto?

Hao wote hakuna anayefaa.
 
Back
Top Bottom