Nani kiranja wa hili jumba?

Wale wote walioivuruga CC mpaka hakuna ndoa zinazofungwa tena na za zamani nyingi kuvunjika wasipewe nafasi tena
 
Kama kutakuwa na kutoa adhabu kama zile za Jitegemee Secondary kichurachura na gwaride hapo panamfaa Excel ila kama ni taratibu taratibu kwa maneno inamfaa The Boss
cc Mkirua asante sana kwa pendekezo lako
 
Last edited by a moderator:
Hili jukwaa linahitaji mnoko, mzandiki, mfitini, mwehumwehu, kichaa, kikongwe etc. Hvyo Nampendekeza FaizaFoxy

Hahahaaaa server zitajaa ban na mods watakuwa na kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
khaaaaa.....kama mnaanzisha shule bhasii ikifika time ya wasamiji na wataka top layer za vyakula niiiteni ....na funguo za madraka ninazo kibao.
hawa viranja waacheni tu
 
Monita wa darasa nani? mwalimu anataka majina ya wasumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…