barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Sawa mhenga!Kha! Mbona juzi juzi tu hiyo. Kuitwa mhenga ni haki yangu.
Sawa mhenga!Kha! Mbona juzi juzi tu hiyo. Kuitwa mhenga ni haki yangu.
Ilikiwa ikitokea faulo ni balaa kwa timu pinzani, hapa Beckham, pale Carlos huku Figo wote wamezunguka mpira!Hilo goli inavyoonekana aliyefunga ni Louis Figo si unaona wanavyompa big up.Achana na hili chama la wana haitokaa ije itokee Real Madrid kuwa na Combination matata kama hii aisee.
Nadhani ulikuwa unaongelea dunking ya 2002.Sawa mhenga!