Nani kati ya hawa alifunga hili goal?

Nani kati ya hawa alifunga hili goal?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Zidane-Raul-2004-Galactiques_w484.jpg
 
Dah! Ila kosi lilikua limetia hilo, Ronaldo el Phenomena, Raul Gonzales, Zinedine Zidane 'Zizzou', Louis Figo na David Beckham
 
Hilo goli inavyoonekana aliyefunga ni Louis Figo si unaona wanavyompa big up.Achana na hili chama la wana haitokaa ije itokee Real Madrid kuwa na Combination matata kama hii aisee.
 
akaja Ronaldinho akaandaa mazingira akamuachia Messi akadestroy Madrid
badala ya kuwa la liga ikawa la pulga
 
Back
Top Bottom