Nani kasema rais hajatoa zawadi ya xmas

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Edzawad.jpg
 
Hahahahaaaa kumbe katoa bana, mmmhh nimeipenda sana! zawadi nyingine ni mgao wa umeme!!
 
Kwani zawadi lazima iwe mchele, mafuta na mbuzi kama ilivyozoeleka? Hata salamu za heri tu zinatosha.
 
haha, kwa hiyo katoa zawadi ya kibatari kwa kuwa tanesco wametangulia kutoa zawadi ya mgao wa umeme pamoja na kupandisha bei kwa 18%. haha very fun
 

Angalia watoto wanataabika kwa muda mrefu nguo hawana na matumizi mengine ikifika X mass au sikukuu basi hapo ndio mbuvi na Mchele hutolewa. Lengo watoto wale na si kuwasaidia inauma sana haina hata maana ya kuwapa watoto yatima mchele na Mbuzi siku za sikukuu tu!
 
jamani acheni uchokozi wenu ,hivyo sio vizuri kwani hamwezi tu kumezea
 
kikwete ni movie star, yupo holly wood city na ma staa wenzie akina alpacino, robert de niro,jean reno, morgan freeman na harison ford. Wameva mataulo yao huku wapigwa na maupepo ya masauna then wanaenda kufanyiwa massage na watoto wa kilatina. Mtajijua nani aliwaambia mumchague?
 
Back
Top Bottom