Nani kasema kwamba CHADEMA hawatachagua Mwenyekiti Taifa?

Naona kama vile kuna vurumai kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari shabiki vya CCM, vikihanikiza kwamba Mbowe hataki kutoka madarakani au CHADEMA hawataki kufanya uchaguzi wa Taifa.

Hapa Iringa wiki ijayo kutakuwa na uchaguzi kwenye Majimbo Mawili ya Mafinga mji na Iringa mjini. CHADEMA imeweka utaratibu kwamba hakuna wilaya itakayofanya uchaguzi kama haijafikia vigezo vilivyowekwa na chama.

Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.

Ni lazima CHADEMA itafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Taifa kupitia Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Ni kwa nini CCM wanataka CHADEMA ifanye Uchaguzi wa Kitaifa kwa kufuata shinikizo toka kwa CCM.

CCM ijue adui yao ni wananchi wengi wa Tanzania waliyoichoka na wala si CHADEMA. Mapambano yenu na CHADEMA ni kupoteza muda kwani nguvu ya CHADEMA inatokana na CCM kuwa dhaifu katika kuongoza Serikali.

Kama Mbowe atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti inakuwaje ni tatizo kwa CHADEMA ambao ndio watakuwa wamemchagua wenyewe? Mbona CCM haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa hata mara moja na CHADEMA hawajawahi kuhoji?
Mm nadhani VIONGOZI WA CHADEMA wanayo busara zaid,kwa SABABU wanaona mwenzao yupo nje kwa matibabu wangependa kuona anashirik uchaguz huo...ambae ni kicheo ni mwanasheria wao ...kifupi WAPO sahihi kiubinadamu japo katiba inavunjwa lkn wanalinda utu na ubinadamu.
 
Naona kama vile kuna vurumai kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari shabiki vya CCM, vikihanikiza kwamba Mbowe hataki kutoka madarakani au CHADEMA hawataki kufanya uchaguzi wa Taifa.

Hapa Iringa wiki ijayo kutakuwa na uchaguzi kwenye Majimbo Mawili ya Mafinga mji na Iringa mjini. CHADEMA imeweka utaratibu kwamba hakuna wilaya itakayofanya uchaguzi kama haijafikia vigezo vilivyowekwa na chama.

Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.

Ni lazima CHADEMA itafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Taifa kupitia Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Ni kwa nini CCM wanataka CHADEMA ifanye Uchaguzi wa Kitaifa kwa kufuata shinikizo toka kwa CCM.

CCM ijue adui yao ni wananchi wengi wa Tanzania waliyoichoka na wala si CHADEMA. Mapambano yenu na CHADEMA ni kupoteza muda kwani nguvu ya CHADEMA inatokana na CCM kuwa dhaifu katika kuongoza Serikali.

Kama Mbowe atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti inakuwaje ni tatizo kwa CHADEMA ambao ndio watakuwa wamemchagua wenyewe? Mbona CCM haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa hata mara moja na CHADEMA hawajawahi kuhoji?
Hivi unafanya uchaguzi kabla ya wakati wa madarakani kupita au baada ya wakati?
Kama ni kabla basi mmechelewa, ila kama ni baada ya muda wa uongozi kupita basi mpo sahihi.
Hao wa mafinga na wapi uliowataja ndio hawajakamilika sio sababu maana hili suala la uchaguzi sio suala la kuamka asubuhi na kulifanyia kazi muda huo, ni suala la mikakati tangu mwanzo.
La mwisho hiyo mistari ya mwisho hiyo unawakosea CCM wanautaratibu wao na unafahamika.
 
Ny
Inaonekana kuna watu wanajenga taswira kwamba kuendelea kwa Mbowe kuwa madarakani CHADEMA ni tatizo. Hivi Mbowe kuwa kwake madarakani amesababisha nini kilicho hasi hadi kuendelea kuwepo kwake madarakani liwe ni tatizo la CHADEMA?
Nyie CHADEMA tulieni, CCM itawaletea Mgombea Urais 2020 kama ilivyokawaida yenu kusubiria Waliokatwa
 
Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.
Katiba yenu inasema uongozi wa Mbowe umekoma tarehe 14 september,2019
Acha kujificha kwenye chaguzi za mafinga
 
Kipengere kipi hicho cha Katiba? Hivi Kikwete si alichaguliwa tarehe 5/10/2010 na Magufuli 25/10/2015. Kwa ivo Kikwete alivunja Katiba kwa kukaa siku 20 zaidi?

Katiba inasomwa kimaudhui siyo neno kwa neno, mstari kwa mstari, fungu kwa fungu, Ibara kwa Ibara bila ya kutafuta kilikusudiwa nini.
 
Naona kama vile kuna vurumai kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari shabiki vya CCM, vikihanikiza kwamba Mbowe hataki kutoka madarakani au CHADEMA hawataki kufanya uchaguzi wa Taifa.

Hapa Iringa wiki ijayo kutakuwa na uchaguzi kwenye Majimbo Mawili ya Mafinga mji na Iringa mjini. CHADEMA imeweka utaratibu kwamba hakuna wilaya itakayofanya uchaguzi kama haijafikia vigezo vilivyowekwa na chama.

Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.

Ni lazima CHADEMA itafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Taifa kupitia Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Ni kwa nini CCM wanataka CHADEMA ifanye Uchaguzi wa Kitaifa kwa kufuata shinikizo toka kwa CCM.

CCM ijue adui yao ni wananchi wengi wa Tanzania waliyoichoka na wala si CHADEMA. Mapambano yenu na CHADEMA ni kupoteza muda kwani nguvu ya CHADEMA inatokana na CCM kuwa dhaifu katika kuongoza Serikali.

Kama Mbowe atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti inakuwaje ni tatizo kwa CHADEMA ambao ndio watakuwa wamemchagua wenyewe? Mbona CCM haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa hata mara moja na CHADEMA hawajawahi kuhoji?
Tatizo muda.
 
Wanaotaka Mh Mbowe aondoke wanataka hivyo ili iweje? Kwa taarifa yao Mbowe haondoki, hanunuliki wala hatishiki na watarajie atabadisha gia hewani kama kawa
 
Kipengere kipi hicho cha Katiba? Hivi Kikwete si alichaguliwa tarehe 5/10/2010 na Magufuli 25/10/2015. Kwa ivo Kikwete alivunja Katiba kwa kukaa siku 20 zaidi?
Kwa hiyo kama kikwete aliongeza siku nyie wana demokrasia wanajipa uhalali wa kuvunja katiba yenu?
Aluewaita malofa hakukosea
 
Kwa hiyo kama kikwete aliongeza siku nyie wana demokrasia wanajipa uhalali wa kuvunja katiba yenu?
Kwanza hakuna Kipengere cha Katiba kilichovunjwa. Ninachosema mchakato wa kufanya Uchaguzi ndani ya CHADEMA unaendelea na mwisho wa siku uchaguzi ngazi ya taifa utafanyika. Tatizo liko wapi?
 
Tatizo lipo..hayo mambo ya mchakato unaendelea mnaiga majibu ya mawaziri bungeni
Katiba yenu haisemi mambo ya mchakato,uongozi ukimaliza muda ni uchaguzi tu,,kwani Mbowe anaogopa nini?
 
Mchakato siyo neno la kisiasa bali ni lugha inayoelezea kwamba kuna mtiririko wa jambo unaendelea kabla ya kufikia hitimisho.

Sasa Mwenyekiti Taifa atachaguliwa na wajumbe toka wapi kama si kutoka kwenye ngazi ya Majimbo, wilaya na mikoa?
 
Back
Top Bottom