Nani kasema kwamba CHADEMA hawatachagua Mwenyekiti Taifa?

Porojo .Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti taifa na rudisheni zile shilingi bilioni Moja laki Tisa mlizokwapua
Nani kakwambia kwamba CHADEMA hawatafanya uchaguzi wao wa taifa? Nimekuuliza Magufuli alipewa uenyekiti wa CCM baada ya Kikwete kumaliza miaka yake mitano ya uenyekiti?
 
Kamanda, kwa hyo mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka ataposema basi imetosha?
Hapana, ni mpaka wanachama watakaposema imetosha. Mbowe hana madaraka ya kujipa uenyekiti kwa hali yoyote ile. Wana CHADEMA wakimchoka Mbowe hawezi kuzuia kuondoka kwake kwenye Uenyekiti!!
 
Tulia dogo. Siku ukipata nafasi ya kwenda nchi za watu ndiyo utajua lugha ya SADC ni uchafu tu.
Kiswahili ni Lugha ya Pili kwa kuzungumzwa na watu wengi Afrika baada ya Kiarabu. Hicho Kiingereza unacholeta nacho mbwembwe ni cha nne baada ya Kifaransa.

Hata hivyo kwani JF iko nchi za watu wengine ama iko Tanzania? Kama Kiingereza kimekunogea sana nenda "Politics Palace" kaweke hoja zako huko!!
 
Hahahahahh pole sana. Jifunze lugha ya Kiingereza upate fursa na exposure mbalimbali kijana achana na kasumba za kijinga kuwa watumiaji wa JF ni Watanzania tu.
 
Naona kama vile kuna vurumai kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari shabiki vya CCM, vikihanikiza kwamba Mbowe hataki kutoka madarakani au CHADEMA hawataki kufanya uchaguzi wa Taifa.

Hapa Iringa wiki ijayo kutakuwa na uchaguzi kwenye Majimbo Mawili ya Mafinga mji na Iringa mjini. CHADEMA imeweka utaratibu kwamba hakuna wilaya itakayofanya uchaguzi kama haijafikia vigezo vilivyowekwa na chama.

Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.

Ni lazima CHADEMA itafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Taifa kupitia Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Ni kwa nini CCM wanataka CHADEMA ifanye Uchaguzi wa Kitaifa kwa kufuata shinikizo toka kwa CCM.

CCM ijue adui yao ni wananchi wengi wa Tanzania waliyoichoka na wala si CHADEMA. Mapambano yenu na CHADEMA ni kupoteza muda kwani nguvu ya CHADEMA inatokana na CCM kuwa dhaifu katika kuongoza Serikali.

Kama Mbowe atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti inakuwaje ni tatizo kwa CHADEMA ambao ndio watakuwa wamemchagua wenyewe? Mbona CCM haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa hata mara moja na CHADEMA hawajawahi kuhoji?
CCM badala ya kuwahimiza washirika wao wafanye Chaguzi za Wenyeviti wao wanateseka na Chadema.Cheo yuko madarakani toka 1994.Lipumba 1995,Mrema 1999
 
Naona kama vile kuna vurumai kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari shabiki vya CCM, vikihanikiza kwamba Mbowe hataki kutoka madarakani au CHADEMA hawataki kufanya uchaguzi wa Taifa.

Hapa Iringa wiki ijayo kutakuwa na uchaguzi kwenye Majimbo Mawili ya Mafinga mji na Iringa mjini. CHADEMA imeweka utaratibu kwamba hakuna wilaya itakayofanya uchaguzi kama haijafikia vigezo vilivyowekwa na chama.

Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.

Ni lazima CHADEMA itafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Taifa kupitia Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Ni kwa nini CCM wanataka CHADEMA ifanye Uchaguzi wa Kitaifa kwa kufuata shinikizo toka kwa CCM.

CCM ijue adui yao ni wananchi wengi wa Tanzania waliyoichoka na wala si CHADEMA. Mapambano yenu na CHADEMA ni kupoteza muda kwani nguvu ya CHADEMA inatokana na CCM kuwa dhaifu katika kuongoza Serikali.

Kama Mbowe atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti inakuwaje ni tatizo kwa CHADEMA ambao ndio watakuwa wamemchagua wenyewe? Mbona CCM haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa hata mara moja na CHADEMA hawajawahi kuhoji?
Umeandika sasabu za ajabu sana.

Mda wa uchaguzi kwa CDM ni sasa. Acheni sababu na visingizio. Mkiendekeza hizi ngonjera Mbowe atafia madarakani.
 
Kwani hata mtu mpya akichaguliwa leo hawezi kufa? Halafu uchaguzi si unaendelea kufanyika ndani ya CHADEMA tatizo liko wapi?
 
Mtanzania.

Pia lugha unayojivunia haujui vizuri hata kidogo.

Nakuomba ukakajifunze Kiswahili vizuri ili ujue namna ya kuunda sentensi.
Angalau sasa umeongea. Halafu uundaji wa sentensi ni weledi wa lugha ambao mimi sina. Ila kazi kubwa ya Lugha ni kurahisisha mawasiliano. Umenielewa?
 
Tatizo haufanyiki ndani ya mda, harafu hamutoi sababu kwa umma.Toeni kwa umma.
Waliomo wanajua kinachoendelea. Ndiyo maana nimekwambia kwamba Jumamosi ijayo hapa Iringa kutakuwa na Uchaguzi wa ngazi ya wilaya. Huo nao siyo uchaguzi ama uchaguzi ni ule tu unaomhusisha Mbowe?
 
Kwa ngojera hizi naandaa machera ya mwenyekiti.
 
Naona kama vile kuna vurumai kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari shabiki vya CCM, vikihanikiza kwamba Mbowe hataki kutoka madarakani au CHADEMA hawataki kufanya uchaguzi wa Taifa.

Hapa Iringa wiki ijayo kutakuwa na uchaguzi kwenye Majimbo Mawili ya Mafinga mji na Iringa mjini. CHADEMA imeweka utaratibu kwamba hakuna wilaya itakayofanya uchaguzi kama haijafikia vigezo vilivyowekwa na chama.

Kwa maana nyingine ili upate wapiga kura wa Mkutano Mkuu ni lazima chaguzi za chini zifanyike na ndiyo hatua walioko CHADEMA kwa sasa. CHADEMA si chama cha kufanya Mkutano Mkuu kwa kuokoteza wajumbe wake mitaani kama vifanyavyo baadhi ya vyama vingine.

Ni lazima CHADEMA itafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Taifa kupitia Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Ni kwa nini CCM wanataka CHADEMA ifanye Uchaguzi wa Kitaifa kwa kufuata shinikizo toka kwa CCM.

CCM ijue adui yao ni wananchi wengi wa Tanzania waliyoichoka na wala si CHADEMA. Mapambano yenu na CHADEMA ni kupoteza muda kwani nguvu ya CHADEMA inatokana na CCM kuwa dhaifu katika kuongoza Serikali.

Kama Mbowe atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti inakuwaje ni tatizo kwa CHADEMA ambao ndio watakuwa wamemchagua wenyewe? Mbona CCM haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa hata mara moja na CHADEMA hawajawahi kuhoji?
Acha longolongo tunataka uchaguzi. Kwani hakuna kalenda ya chama kuonyesha kwamba chaguzi za vitongoji,wilaya,mikoa na taifa inatakiwa kufanyika lini? Wanachama wa Chadema wakihoji mnakimbilia kuishutumu CCM, Y?
 
Ni vzuri chama kupitia wasemaji wake kiweke wazi kwa umma ratiba nzima ya uchaguzi kuanzia chini hadi juu ieleweke. Pia wanachama wote waruhusiwe kugombea vyeo vyote toka chini hadi juu.ili tuone demokrasia ikifanyika
 
Back
Top Bottom