Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,348
- 37,151
Nipo nasikiliza wimbo wa konde boy- vibayaWajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.
Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.
Mie sijammiss mtu labda hela
Huku nakula apple🍏🍏🍏🍏
Apple tunda sio vingine 🍎🍎🍏🍏
🤓🤓😊🌝😄