Nani kanimiss?

Nani kanimiss?

Kabla ya kugawa hii dunia si tuko na Darlin
Hakikisha umekodi dunia ingine ya kumpea “pa” 😍

Sisi bado watoto, tutakosa pa kwenda 😅
Daahh bora yako hata wewe una wa kukupeleka kadunia kengine😒
Mimi si mtaniacha mwenyewe jaman
 
😂😂😂😂😂
As always Pa', you are smart enough..!! Nimefuata ushauri wako, atabaki Depal na Darlin pekee,

Ama unawataka na wale wadogo zako wawili, wale vichwa..???🤭
Dada me sikupendi tena
Utakuta kufuli lako wasapuni ili uende Mars kwa amani😒☹️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom