Chakala ndio nini?View attachment 2455688
Anataka kusema tulikuwa hatupati chakala cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?
Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?
Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.
Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.
Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.
Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!
Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
Moderator tafadhali rekebisha hapo kwenye heading isomeke MaNgala na siyo Magala
... hujaelewa nini kuhusu hiyo text in connection to the context of the post? Kisomi unaonekana mjinga.Chakala ndio nini?
Kisheria nipo sawa ila! 😅... hujaelewa nini kuhusu hiyo text in connection to the context of the post? Kisomi unaonekana mjinga.
kuna wakati unawasikiliza hawa viongozi wa mihimili (tena mhimili mkubwa kama bunge) wakiongea hadi unajiuliza tuna bahati mbaya sana kuwa na viongozi wa aina hii! ndio maana hata bunge limekosa umakini na uthubutu kama Bunge! terrible!Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.
Wametuona watanzania tu mazuzu ndiyo maana wanaimba kimalaika lkn wanacheza kishetwani.kuna wakati unawasikiliza hawa viongozi wa mihimili (tena mhimili mkubwa kama bunge) wakiongea hadi unajiuliza tuna bahati mbaya sana kuwa na viongozi wa aina hii! ndio maana hata bunge limekosa umakini na uthubutu kama Bunge! terrible!
Hatuna bahati mbaya wala hawakosei wananchokisema. Wanajua Watanzania ni WAPUMBAFU.kuna wakati unawasikiliza hawa viongozi wa mihimili (tena mhimili mkubwa kama bunge) wakiongea hadi unajiuliza tuna bahati mbaya sana kuwa na viongozi wa aina hii! ndio maana hata bunge limekosa umakini na uthubutu kama Bunge! terrible!
View attachment 2455688
Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?
Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?
Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.
Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.
Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.
Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!
Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
Kibaya zaidi inatutafuna, tunaumia na kulia lkn hatuchukui hatua yoyote.Nimekuelewa Kuwa Kikulacho Ni "CcM"
Ndiyo Imetufikisha Hapa Ikatubwaga Tu
Bwawa litatumika kwa kilimo Cha umwagiliaji wa Mashamba makubwa hasa ya mpunga kwenye Bonde la Rufiji.View attachment 2455688
Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?
Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?
Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.
Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.
Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.
Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!
Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
Miaka yote kwann halikutumika mkuu? Kulikuwa na mradi unaitwa RUBADA huko miaka nenda rudi hakuna lolote, na tatizo hakijawahi kuwa uhaba wa maji.Bwawa litatumika kwa kilimo Cha umwagiliaji wa Mashamba makubwa hasa ya mpunga kwenye Bonde la Rufiji.