Nani kama Zuberi msabaha (ZM)

Nani kama Zuberi msabaha (ZM)

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,092
Reaction score
2,297
Huyu mtangazaji wa RFA,sidhani kama kuna Redio DJ anayemfikia kwa sasa unapozumgumzia miziki ya bolingo,
Yeye hupiga zile nyimbo kali ambazo wapenzi wa muziki huu,hatujasikia muda mrefu au ataweka nyimbo mpya kabisa na unaweza usizisikie kabisa kwa watangazaji wenzake wa RFA,na hata redio nyingine.Namfananisha na marehemu Rankim Ramadhani ambaye alikuwa anakuwa wa kwanza kugundua nyimbo kali. Kwa uliye shabiki wa bolingo msikilize Zuberi jumanne saa nne usiku,RFA au jumamosi kuanzia saa 8 mchana kwenye Redio yao nyingine Kiss FM akisaidiana na DJ Maliz.Zuberi msabaha upo juu.
 
Back
Top Bottom