TANZIA: Mtangazaji wa Radio Free Africa, Tom Zuberi Msabaha amefariki dunia

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,284
msabaha.jpg

Aliyekuwa mtangazaji wa Radio free afrika kipindi cha bolingo time, Mtangazaji Zuberi Msabaha afariki dunia.

Maziko yanatarajiwa kufanyika leo huko Mabatini, Mwanza. Mungu amuweke anapostaili mtaalamu huyo aliyekuwa na mvuto wake na uhodari wa kuendesha kipindi kupitia redio free Afrika.
star tv.jpg

dafity said;
Mtangazaji mahiri wa Sahara Media (RFA, KISS FM na STARTV) mtajwa hapo juu amefariki usiku wa kuamkia leo Jumatano January 10, 2018. Msiba upo Mabatini Mwanza.

Marehemu alikua mahiri katika kuzichambua nyimbo za Kilingala, KiCongo na Kikasai kutoka DRC na Congo-Brazaville.

Baadhi ya majina ya kazi aliyotumia ni 6000 volts na TonTon. Mazishi ni leo Jumatano saa 10 jioni hapa Mwanza
 
Back
Top Bottom