Nani kama Mama Vs Nani kama Baba

Kwa jina la mama, na la mwana na roho mtakatifu amen!!
Mungu BABA wa Mbinguni, Hakuna kama wewe!...Hakuna kama Mungu ambaye ni BABA.

Wataukubali taratibu tu kiongozi,unajua hii hakuna kama mama ilijengeka sana kwenye jamii yetu ndiyo maana baba akaonekana kumbe yeye ni less important na substitute yake inaweza kuwepo!twende nao taratibu mpwa watatuelewa

Hahahaha...mkuu umeua mazima...Ila kwangu mimi hakuna substitute ya baba yangu bana....NO way!
 
we dont share the same background lizzy,
 
Jamani hakuna kama Mama, anapitia mambo mengi sana katika kuhakikisha nyumba inakuwa imara, muda mwingi anatumia kuwaelimisha watoto nini baya na nini zuri. anahakikisha baba akirudi anakuta maandalizi na mazingira mazuri ya kupumzika duh ni nani kama mama? hakuna
 
Nikukimbie wewe!!!!!!!!!
Haiwezi kutokea mpenzi....
Hujanikosea wala sidhani kama unafikiria kufanya hivyo
Nimeamua kuwa kimya nikufatilie kwa umakini,,,lol
Kuonyesha nakupenda nimeandika ki-afro afro:evil:

hahhahahahah lol
una vichekesho wewe
eti Kiafro afro duhhhhh
sasa vipi bado waenda kule mlimani??
maana dhambi zimezidi na babu anazidi
kuwa smart kupita kiasi mmmmmhhhhhh
 
Dingi ndio mpango mzima, pasipo yeye bia ningeinywea ukubwani, bt kwa kuwa alikua mlevi enzi hzo alijenga mazoea ya kunipeleka bar, huko ndiko nikachukua maujuzi!
 
Hapa hii ligi ni ngumu maana imeshakuwa ya muwamba ngoma!!!
 
Dingi ndio mpango mzima, pasipo yeye bia ningeinywea ukubwani, bt kwa kuwa alikua mlevi enzi hzo alijenga mazoea ya kunipeleka bar, huko ndiko nikachukua maujuzi!

Duuh! Gagurito inamaana sio ww ni pombe ndo zimekutuma uandike ivi?lol
 




 
Dingi kanipa exposure ya mambo mengi sana, yani mtoto wa nyoka ni nyoka, now i'm living his style. NAMKUBALI SANA FAZA YANGU!
 

da hapo kweli dady is my hero
 
Mama ndio kila kitu hata Imani yangu inasema kama imetokea unaenda kuwasalimia wazazi let say nyumbani ukiondoka unawapa hela sawa halafu unaweza kumuita mama pembeni na unamuongezea mara mbili ya mzee.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
kwa mtazamo wangu zaidi NI MAMA kwani mara zote hukaa na mwana na ule upendo wa mtoto uenda kwa mama ndo maana watoto wengine huwaga hawapendi kukaa na baba zao tokana hawana muda mwingi wa kukaa nao na kuwalea wao ni ubusy masaa 24 utafikiri wanatafuta chapaa kule hakuna chochote wanazuga wasifanye wajibu wao katika fami,lia zao

cc😡Asprin, Erickb52, LiverpoolFC, PakaJimmy na muuza ubuyu
 
Last edited by a moderator:
HII NI SAWA NA KUKU NA YAI NINI KILIANZA MKIPATA JIBU BASI NA JIBU LA BABA Vs MAMA NANI ZAIDI LITAPATIKANA
ahsanteni wakuu
 
Mama ni mama ndio,nampenda sana...ila bila ya mshua sijuiii kama ningekuwa who i am today...i love my baba so much...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…