Orayt.....back to topic
Nini kama sredi ya Nani kama mama Vs Nani kama baba?
Senkyu mai dia?
Wapi kama Nachoes?
Babu anakuja kunong'onezwa!
Nani kama Wiselady wa babu?
Oryt oryt
sasa unanichanganya
Halafu mbona black woman hapo chini hasemi neno?!:bange:
DAH.. NIMEKWEPA SANA HII THREAD, LAKINI MH.............
Hakuna kama baba na hakuna kama mama... hiyo ndio sababu waweza sikia kwamba yule ni mtoto wake, au yule si baba yake!!! haya ya nani kama XXXX yanaletwa na jamii fulani kuhalalisha yale ya kitanda hakizai haramu, sisi tukifanya ni kutafuta fulfilment of what we are missing while other wao wanafanya for fun etc
Its all up in the air and utaipata vizuri sana kwenye chapter ya kwanza kabisa ya kitabu cha kwanza cha neno la mungu
mate tena kama unakumbuka vizuri, yule nyoka alijua kabisa desire na weakness na dnio maana alisema ukitaka kufananana na XXXXX basi fanya ------, and that is where fulfilment issue started!!!!!!!!! and it can be supported by the fact that jamaa alikua kitaa anatafuta matunda mazuri na mizizi alete watu waje wapate menuAnd thats it, pal! BINGO!
..... Super darling!!!
mate tena kama unakumbuka vizuri, yule nyoka alijua kabisa desire na weakness na dnio maana alisema ukitaka kufananana na XXXXX basi fanya ------, and that is where fulfilment issue started!!!!!!!!! and it can be supported by the fact that jamaa alikua kitaa anatafuta matunda mazuri na mizizi alete watu waje wapate menu
..... No, i didnt say that, did i??
Kila mmoja ana umuhimu ndiyo maana Mungu akaona wote wafaa kuwepo,na bila mama function ya baba haipo vile vile bila baba function ya mama haipo hivyo hakuna kama MAMA na hakuna kama BABA
Kweli mkuu, tatizo hawa kina mama hawataki kuukubali huu ukweli.
It is because of this mentality ndio maana nilikwepa hii sredi....Umuhimu upo kwa wote ila mama zaidi!!
Shkamoo babu!
Ndo unaamka mida hii?
Marahaba kajukuu. Nani kama Lizzy?
It is because of this mentality ndio maana nilikwepa hii sredi....
ODM, see you in another thread, I am out mkuu hili shindano halina refa, linesman wala kamisaa:A S-baby:
Ukichukulia huo msemo literary kua hakuna kama mama na hivyo baba ana umuhimu utakua unakosea njia... Ni kwanini inasemekana hakuna kama mama?
Mama ni kiumbe ambae katika viumbe woote tunamchukulia sana for granted. Huyu mama ndo kakubeba wewe tumboni kwako (hebu naomba u pause kidogo na tafakari hili suala - kua the whole of you, mwili wako huo wote ulitoka ndani ya tumbo lake). Mama ni Mwalimu, rafiki, dakitari, mtabiri, mpenzi wa kweli, dereva na vitu vingine viingi ambavyo naamini hata wewe pia unaelewa. Asprin niseme nini hapa... Nani kama mama ??? Mama anaamini wewe ndo wewe no matter your weakness (sometimes anapalilia hata hizo weakness), Mama anakuambia mwanangu Aprin mimi nakupenda na as long as am still there you will always be safe, sitakubali dunia ikusumbue... Niambie mwanangu; unasema unahitaji niwaongeze wewe na mkeo mtaji - usijali nitaongea na baba....
Baba on the other hand ni nguza yako ya kuegemea, ni jeshi lako la kukimbilia iwapo kuna wasi wasi wowote wa mashambulizi, ni mtu akuoneshae kua hii dunia you can overcome anything ukitumia nguvu, determination, focus na akili. Ni mtu ambae anakusimamie but ikifika wakati wa wewe kusimama anakujulisha kua nawe sasa ni ngazi, anakwambia kabisa kama wewe huna hivi huna nafasi katika hii dunia hivyo jiandae kua defeated - na anakujulisha kua kama utashindwa kua mwanajeshi katika mambo yote yakuzungukayo na kukusumbua basi mi sio commander wako...
Ni wachache saana wamepata bahati ya kupata committed Fathers hata kama wamelelewa nao, but kwa wale woote walojaliwa kulelewa na mama zao ilikua ni rahisi kupata a committed mom though ndio kuna exceptions..
Kweli mkuu, tatizo hawa kina mama hawataki kuukubali huu ukweli.
It is because of this mentality ndio maana nilikwepa hii sredi....
ODM, see you in another thread, I am out mkuu hili shindano halina refa, linesman wala kamisaa:A S-baby: