Hofu mnayo kubwa sn, kwnn hamtaki uchaguzi wa haki, kwnn mnazuia maoni ya watu, kwnn mnazuia uhuru wa vyombo vya habari, rubbish 🕳️🗑️🚮We unanwa kifaduro?!!! Mwenye hofu nani?!!!
Mwamba aliwaheshimu wenzake ndani ya chama akakubali kumbeba maza ila kwa dot chache mwamba ilikuwa atembee na jembe Dr. Hussein.Moja ya kosa kubwa kabisa alilolifanya ni kwenda na Samia awamu yake ya pili.
Leaks zote alizokuwa anapewa Mange, Kigogo, JPM hakushtuka zinatoka wapi nani anamsaliti.
Nimegundua wewe ni mtoto sana hivyo ngoja nikuache ukue kwanza. Maelfu ya watanzania hao walioandamana ilikuwa wapi?!!! Wale mliokuwa mnavunja, kuiba, kujeruhi, kupora na kuharibu miundombinu ya kutumia na jamii mzima?!!! Hivi mlikuwa mnafika hata laki moja?!!!!Wewe ni mjinga, Rais gn wa taifa hili tangu kuanzishwa aliwahi kupingwa waziwazi kama huyu? Ushawahi kuona watanzania maelfu kwa maelfu wanaandamana Rais aachie ngazi? Maendeleo gn unayosema wewe? Ya kuteka, kuua na kufungia watu ndani kama kuku? Kuweni na akili japo ya chura tu wajinga nyinyi.
Wewe hutoi maoni hapo saa hizi?!! Nenda FB huko, mbona mmejipanga kuanzia alfajiri Hadi usiku wa manane kumtukana Samia kwa Kila aina ya matusi na hamtekwi?!!!Hofu mnayo kubwa sn, kwnn hamtaki uchaguzi wa haki, kwnn mnazuia maoni ya watu, kwnn mnazuia uhuru wa vyombo vya habari, rubbish 🕳️🗑️🚮
Hamna akili nyie wehu, mnatetea msichokijua kwasababu mnalipwa vipesa vichache lkn watumishi wameshajua hakuna serikali kwa sasa, magari ya umma yanapaki tu gesti na hakuna shida yoyote mana hakuna serikali kwa sasa, ila wendaazimu kama nyie mnatetea tu ujinga.Wewe hutoi maoni hapo saa hizi?!! Nenda FB huko, mbona mmejipanga kuanzia alfajiri Hadi usiku wa manane kumtukana Samia kwa Kila aina ya matusi na hamtekwi?!!!
Hiyo picha nmepiga mm mwenyewe sasa hivi, na sio hiyo tu gari za serikali ni nyingi sana zinaenda sehemu za anasa bila woga wowote mana wanajua hakuna serikali kwa sasa.Hamna akili nyie wehu, mnatetea msichokijua kwasababu mnalipwa vipesa vichache lkn watumishi wameshajua hakuna serikali kwa sasa, magari ya umma yanapaki tu gesti na hakuna shida yoyote mana hakuna serikali kwa sasa, ila wendaazimu kama nyie mnatetea tu ujinga.View attachment 3522382View attachment 3522383
Ni rahisi sn ku deal na uvccm mana hamna akili, lini uliona watz wanaandamana kumtoa Rais madarakani? Lkn now wamefanya hivyo, hii sio ishara nzr, inamaanisha Rais aliyepo ni wahovyo kuliko hovyo yenyewe, lkn wajinga kama nyinyi bado mnaziba masikio na kujifanya wendaazimu.Nimegundua wewe ni mtoto sana hivyo ngoja nikuache ukue kwanza. Maelfu ya watanzania hao walioandamana ilikuwa wapi?!!! Wale mliokuwa mnavunja, kuiba, kujeruhi, kupora na kuharibu miundombinu ya kutumia na jamii mzima?!!! Hivi mlikuwa mnafika hata laki moja?!!!!
Mnajua idadi ya tulikuwa tumetulia tu tunawachora?!!!! Nyambafu mkubwa we!
Kataaa Kemeaaaaaaa !
Alafu mwisho anamalizia na tusi... hahahaKataaa Kemeaaaaaaa !
Mimi naomba unijibu suala moja tu, zile Triliion 1 na nusu CAG ASSAD alosema zimepotea ziliendq wapi na kwa nini alimfukuza kazi Assad kinyume na katiba ?
Ben saananeNi mambo ya ajabu sana tatizo la watanzania wengi ni wasahaulifu na huu ndo mtaji wa ccm
Magufuli ni architect wa mambo mengi sana ya hovyo ambayo mpaka leo yapo yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri
Wajinga ni nyie TEC na chadema mliohamasiaha vuruguNi rahisi sn ku deal na uvccm mana hamna akili, lini uliona watz wanaandamana kumtoa Rais madarakani? Lkn now wamefanya hivyo, hii sio ishara nzr, inamaanisha Rais aliyepo ni wahovyo kuliko hovyo yenyewe, lkn wajinga kama nyinyi bado mnaziba masikio na kujifanya wendaazimu.
Kosa la TEC ni nn? Kusema ukweli kwamba polisi walitaka watz wapelekwe mochwari wakiwa wazima? Kupinga mauaji? Kupinga utekaji? Acha ujinga.Wajinga ni nyie TEC na chadema mliohamasiaha vurugu
OK, tuhamie kwenye kazi, jamaa alifanya kazi ipasavyo kama rais au hapana?Hana utakatifu huo, huyu ndio chanzo cha bunge la hovyo la kijani tupu..!!
Sheria nyingi mbovu zilipitishwa kwake, uchawa na kuziba wananchi midomo.
Ni vile Samuya karuhusu utekaji uendelee toka kwa mtangulizi wake na mauaji Dec 29 ndio yamefanya chuki izidi kwake.
Nina uhakika naye angekuwepo tungekuwa na M7 wetu sasa hivi..!!
Tatizo watanzania tunajifanya wasahurifu ila hiko chuma kilikuwa ni chanzo cha haya yote.
Kama n hvy bc tuseme kwamba na JPM nae amerithi kutoka kwa JK, vp hapo?Ni mambo ya ajabu sana tatizo la watanzania wengi ni wasahaulifu na huu ndo mtaji wa ccm
Magufuli ni architect wa mambo mengi sana ya hovyo ambayo mpaka leo yapo yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri
Alifanya kazi kama rais diktetaOK, tuhamie kwenye kazi, jamaa alifanya kazi ipasavyo kama rais au hapana?