Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 4,546
- 3,447
Kwani ulichokisema wewe au jamaa zako wa humu wenye mawazo kama Yako ndo kimesemwa na watanzania wote?!!!Kwahiyo unataka kusema watanzania wote ni wajinga, kwamba hawaoni kinachoendelea nchini.
Mkiambiwa ukweli mnatafuta pango la kujificha. Samia anaendelea kuteka hadi leo, kutupa watu magereza, kufungia mitandao, magazeti, vyombo vya habari. Upo hapa bila shaka ukitumia VPN.Poleni sana haters wa Samia, mpo kwenye mateso na makubwa bila shaka ndo maana mmejichagulia njia ya kuwazushia Samia na Kikwete Kila jambo baya Ili kupoza maumivu yenu. Mungu yupo na, InshaAllah, kwa uwezo wake mtateseka mara dufu kufidia dhambi hiyo. Kwamba nyie mlimjua Magu kuliko alivyojijua mwenyewe yaani?!!!!
Kama hakisemwi na watanzania wote hofu yenu inatoka wapi? Kwnn hamjiamini?Kwani ulichokisema wewe au jamaa zako wa humu wenye mawazo kama Yako ndo kimesemwa na watanzania wote?!!!
Wabongo wa mitandaoni hutoa mawazo kwa kuigana, Walimpa dhambi ya fitina SSH wakati JPM akiwa ikulu sasa wanampa dhambi SSH baada ya JPM kuwa hayupo duniani.Kwahiyo unataka kusema watanzania wote ni wajinga, kwamba hawaoni kinachoendelea nchini.
Ungeelewa point yangu wala usingeshusha gazeti..Huwezi kukubalika na wote, hata manabii na mitume wa Mwenyezi Mungu hawakukubalika na wote lkn itoshe tu kwamba magu alipendwa na watanzania wengi, kuhusu suala la ufisadi naomba nikuulize, kipi ni bora? Ufisadi uwepo lkn wananchi wanasikilizwa na kuthaminiwa, kodi yao inatumika katika miradi inayoonekana, watumishi (polisi, manesi, madokta) kuhudumia wananchi ipasavyo au bora ndiyo hiki kinachoendelea kwa sasa kwamba raia kudharaulika na kutosikilizwa, watu kupeana vyeo kiholela, raia kutekwa na kuuawa kikatili?
Ni mambo ya ajabu sana tatizo la watanzania wengi ni wasahaulifu na huu ndo mtaji wa ccm
Magufuli ni architect wa mambo mengi sana ya hovyo ambayo mpaka leo yapo yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri
Siku akiondoka ikulu akaja rais mwingine utaanza kumponda huyu mpya ukimsifu Samia, hizi ni hulka za miaka na miaka za watanzania.Mkiambiwa ukweli mnatafuta pango la kujificha. Samia anaendelea kuteka hadi leo, kutupa watu magereza, kufungia mitandao, magazeti, vyombo vya habari. Upo hapa bila shaka ukitumia VPN.
Matumizi ya hovyo ya kodi zetu amenunua ndege, jet stream, magari ya kifahari ya msafara wake, akiwanunulia kuwahonga wagombea 17 magari ya milioni 500 kwa kampeni.
Amechagua mtoto wake, mshenga, ex husband, mkwe, kawajaza wahuni ndugu zake wizara na kurugenzi nyeti.
Ameua maelfu ya Watanganyika, rekodi toka tupate uhuru. Anawakejeri na kuwalaumu wahanga, wazazi, ndugu wanaoomboleza.
Kashfa ya Kizigha, Wicknell Chivayo, DP World, Ngorongoro, kuuza misitu, viwanja vya ndege, kujipitisha CCM, kuiba chaguzi.
Amejaribu sana kuwagawanya Wananchi kidini, kikabila, kikanda.
Maji, umeme, mfumuko wa bei, tozo, kodi lukuki, rushwa imetamalaki, nidhamu serikali imetoweka, anawaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Tumeona mabilioni aliyowahonga Mombo, Wambura, CDF.
Samia uwezo wake ni mdogo sana. Hatoshi analazimisha, kwa kulazimisha kwake analiangamiza taifa. Mshauri for her own sake and sake of the nation. She should do the right thing and resign. Tuwekeeni hata Kassim Majaliwa kwa kipindi cha mpito.
Magufuli was a country bumpkin and a petty dictator.
Huyu muuaji nafasi yake kwenye hiliTaifa itakuwa kama Hitler. Onyo tusichague vichaa, tena kwenye nafasi nyeti.Siku akiondoka ikulu akaja rais mwingine utaanza kumponda huyu mpya ukimsifu Samia, hizi ni hulka za miaka na miaka za watanzania.
Wafanyie mema tisa baya moja watachagua kushikia bango lile baya moja na kuachana na hayo mema tisa.
Acha basi mkuu 😀😀😀, dingi alikua ana C kulinganisha na wengineAlijaribu jaribu, sio kwamba magufuli ndio boooora, ila anakuwa bora kwa viongozi hawa jamii ya kina SAMUYA, KIWETE na wenzie.. hata yeye alizingua..
Ni kwamba katika 100 ana 19, wakati wenzake wana 3,3, 5 huko.. ila wote ni F.
*Mungu atupe nafasi ya pili kutunyanyulia JPM mwingine Kwa wakati wake.Tulishindwa kujua Kama Mungu katupa baraka kile kipindi, alikuwa na madhaufu Kama binadsmu, lakini He was Best President ever.
Mungu atupe nafasi ya pili kutunyanyulia JPM mwingine Kwa wakati wake.
Mungu turehemu Kama watanzania Sisi.
Mungu atusamehe Kwa kuto simama kumuombea ipasavyo.
Unapokelewa namna unavyokuja. Chezea ndevu usichezee dola - Salmin Amour.Huyu muuaji nafasi yake kwenye hiloTaifa itakuwa kama Hitler. Onyo tusichague vichaa, tena kwenye nafasi nyeti.
We unanwa kifaduro?!!! Mwenye hofu nani?!!!Kama hakisemwi na watanzania wote hofu yenu inatoka wapi? Kwnn hamjiamini?
Walioja ni mpole , mzenji hivyo watamuweza tu.Unapokelewa namna unavyokuja. Chezea ndevu usichezee dola - Salmin Amour.
JPM alipiga mkwara kuhusiana na maandamano, Samia kaja kutekeleza kile kile ambacho JPM aliahidi lakini waandamanaji wakaogopa kukitekeleza.
Ninakuapia, hakuna Raisi atakayekuja kuimbwa kwa kuwaletea watu maendeleo kama huyu. Muda utaongea......Wabongo wa mitandaoni hutoa mawazo kwa kuigana, Walimpa dhambi ya fitina SSH wakati JPM akiwa ikulu sasa wanampa dhambi SSH baada ya JPM kuwa hayupo duniani.
Kwao kila Rais ni mbaya mpaka anapotoka ikulu anaanza kulinganishwa na anayekuwepo halafu anapewa sifa zake wakati muda umeshakwenda. Huyu SSH anafanya mengi sana huko mikoani atapewa maua yake siku atakayoondoka ikulu.
Alipoingia ikulu kuna baadhi ya watu walimdhihaki ule ushungi anaouvaa akiwa mwanamama wa kiislam.Walioja ni mpole , mzenji hivyo watamuweza tu.
Nyie uvccm ni wajinga sana, mnapewa vipesa vidogovidogo vinawawafanya mnatetea mpk ujinga, hatuwezi kuendelea kwa kuwa na vijana wa design yenu, taifa haliwezi kupona kwa watu wenye mawazo kama yenu.Alipoingia ikulu kuna baadhi ya watu walimdhihaki ule ushungi anaouvaa akiwa mwanamama wa kiislam.
Wakadhani atakuwa Rais laini laini, hapo ndipo walipobugi stepu.
Mimi nimeshavuka umri wa kuwa uvccm sio kijana tena, nimeshatoka katika rika lao.Nyie uvccm ni wajinga sana, mnapewa vipesa vidogovidogo vinawawafanya mnatetea mpk ujinga, hatuwezi kuendelea kwa kuwa na vijana wa design yenu, taifa haliwezi kupona kwa watu wenye mawazo kama yenu.
Wewe ni mjinga, Rais gn wa taifa hili tangu kuanzishwa aliwahi kupingwa waziwazi kama huyu? Ushawahi kuona watanzania maelfu kwa maelfu wanaandamana Rais aachie ngazi? Maendeleo gn unayosema wewe? Ya kuteka, kuua na kufungia watu ndani kama kuku? Kuweni na akili japo ya chura tu wajinga nyinyi.Ninakuapia, hakuna Raisi atakayekuja kuimbwa kwa kuwaletea watu maendeleo kama huyu. Muda utaongea......