Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,971
- 6,670
Nimemuota Magufuli,na alikuwa anatoa maagizo, Kwa watendaji katika serikali. Na mi nikasema," Nilivyoelewa hii ( cryptic) statement uliyosema ni kwamba hautaki itokee vita au shooting,there has already been too much violence. Turudi katika amani,siyo hizo fujo ambazo watu wengine mnataka kuleta.
Mawazo yako ni kama yangu. That is the same thing that I was thinking of last night when I was meditating."
Yeye Magufuli,he does not make any comment to acknowledge kwamba I have correctly represented his thought.
Halafu, Magufuli anakwenda kukaa pembeni,mimi nakaa kwenye kiti cha rais. Nimekaa kama vile just resting. Even the chair is not directly facing the table.
Wanafika watu pale, quite important people,wanachukua fomu wanajaza: naona fomu imeandikwa "mlipaji" Kwa hiyo obviously ni fomu za drawer,drawee,payee.
Lakini Ile fomu ni complicated. But everything is written there .
Huyu mtu mmoja ni famous,nikimtaja,utamtambua mara moja.
Huyu mtu anajaza fomu silently,and then he looks up at me and he says"Mimi nipo hapa". Yaani system hapa ni basically self- service, na mimi kazi yangu pale ni kutazama,bila kustuka.