Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Pichani hapo ni Young Master na mwanae mgongoni wakielekea sokoni.
kwa kweli hakuna,lol ila wa namna hio wachache wengi washindaji baa tu halafu wanategemea wakirudi nyumbani kila kitu mswano....
@Young_Master Mbona baba mwenyewe anamtesa mtoto wake kwenye jua kali la mchana hapo nyumbani? Itabidi baba huyu ashitakiwe Mahakamani kwa kumtesa mwanawe.Pichani hapo ni Young Master na mwanae mgongoni wakielekea sokoni.
@Young_Master Mbona baba mwenyewe anamtesa mtoto wake kwenye jua kali la mchana hapo nyumbani? Itabidi baba huyu ashitakiwe Mahakamani kwa kumtesa mwanawe.
Nimeipenda...kuelekea ukombozi wa wanaume kimapinduzi
Ha ha ha ha, kweli nani kama baba.
Ni wachache wenye hiyo kitu bana
Kweli hapo hakuna kama yeye
mimi nahisi huyu ni house boy and not baba!
Huyu uyakuta alitelekezewa mtoto maana kwa afrika ni nadra kweli
Ungekuwa ni wewe kweli ningekupa zawadi....