Nani kama Afande Sele? Watimue Moro, watimue Bongo!

Nani kama Afande Sele? Watimue Moro, watimue Bongo!

Morogoro haiwezi kuongozwa na mbunge muhuni kama afande yule ameshazoea uhuni.

ukweli ni kwamba huyo jamaa ni mzinzi mvuta bangi.hafai kabisa kuwa kiongozi.nadhani mh.zitto una akili timamu ,utafikiria mara 100,kumweka mtu kama huyu.you will destroy your party reputation.
 
ukweli ni kwamba huyo jamaa ni mzinzi mvuta bangi.hafai kabisa kuwa kiongozi.nadhani mh.zitto una akili timamu ,utafikiria mara 100,kumweka mtu kama huyu.you will destroy your party reputation.
Moro ni Afande Sele (MSHINDI), na majanki hatumuangushi na hatatuangusha!
UBUNGE SIO 'ROCKET ENGINEERING!' (labda hapo vitakapowekwa vigezo vitakavyomchuja Sugu!)
 
ukweli ni kwamba huyo jamaa ni mzinzi mvuta bangi.hafai kabisa kuwa kiongozi.nadhani mh.zitto una akili timamu ,utafikiria mara 100,kumweka mtu kama huyu.you will destroy your party reputation.

Ila alipokuwa chagadema alikuwa mzuri, havuti bangi, anafaa kuwa kiongozi, hakuwa mzinzi, na Mbowe alifikiria mara 100 kuhakikisha anapatiwa kadi ya chadema!! Ah! siasa za chadema bana! gutter politics!
 
11149346_904743396214334_5771707760928660516_n.jpg

Mizengwe mingi utafanyiwa kwa kuwa tu una msimamo tofauti na wengine, lakini pambana kamanda na MORO inakuja, Tanzania inakuja!

Matusi mengi utaporomoshewa lakini chukulia kuwa hizo ndio changamoto za uongozi kamanda wangu.

Sitashangaa chama kingine kikiweka waigizaji wanaovaa vivazi vya jinsia ingine kama wagombea wao na wakawapamba, ila kwakuwa umeamua kutowatumikia sasa wanaleta hata picha zako za kazini majukwaani ili kukupakazia.

Watashindwa na kulegea kamanda, ALUTA CONTINUA!

CHASE THEM OUT OF MORO, CHASE THEM OUT OF BONGO!

ACHA MZEE BOB MARLEY AWAPASHE!

SONG: CRAZY BALDHEADS.

Them crazy, them crazy!

We gonna chase those crazy baldheads out of town!

Chase those crazy baldheads out of town!

I'n'I build a cabin;

I'n'I plant the corn;

Didn't my people before me

Slave for this country?

Now you look me with that scorn,

Then you eat up all my corn.

.

.

.

HATE IS THE REWARD FOR OUR LOVE!

.

.

.................................................................... BOB MARLEY - CRAZY BALDHEADS.

Yaani Waluguru mmekosa watu kabisa mkaona huyu ndo anawafaa?:biggrin1:
 
Yaani Waluguru mmekosa watu kabisa mkaona huyu ndo anawafaa?:biggrin1:

  • Moro ni Afande Sele (MSHINDI), na majanki hatumuangushi na hatatuangusha!
    UBUNGE SIO 'ROCKET ENGINEERING!' (labda hapo vitakapowekwa vigezo vitakavyomchuja Sugu!)

Mshindi ni lazima ushinde hiki kijiti kwa kuwekeza Moro mjini kipandwe kama mchicha kina afya njema kwa wanaoshindwa kuona vizuri

35473_384734171597138_1642237980_n.jpg
 
kuna watu wana phd humu lakini ni wapiga debe wa afande sele. ni upumbavu kumjadili mjinga.

jf is now becoming the home of great foolers
 
msindi angekuwa na msimamo si angebaki cdm? huyo ni mganga njaa tu aliyeona fursa act akaenda kwa kuwa alijua atapata fursa ya kula perdiem na kutumbuiza. nchi hii kuwa mwanasiasa ni rahisi sana. unasimama jukwaani tu na kuamza kuporomosha shida za watanzania. hivyo tu
 
Morogoro haiwezi kuongozwa na mbunge muhuni kama afande yule ameshazoea uhuni.

Watu wa Moro ni watu wa aina ya pekee wana ustaarabu fulani hivi. Alafu Afande hakubaliki Moro kiivyo kashazingua sana huko kama mnavyojua Afande hawezi kuishi na mtu ata ACT atawazingua tu. Afande namshauri anyoe rasta anawachoresha sana act waTz haya mambo hawayapendi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom