Nani kama Afande Sele? Watimue Moro, watimue Bongo!

Nani kama Afande Sele? Watimue Moro, watimue Bongo!

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,248
Reaction score
7,785
11149346_904743396214334_5771707760928660516_n.jpg


Mizengwe mingi utafanyiwa kwa kuwa tu una msimamo tofauti na wengine, lakini pambana kamanda na MORO inakuja, Tanzania inakuja!

Matusi mengi utaporomoshewa lakini chukulia kuwa hizo ndio changamoto za uongozi kamanda wangu.

Sitashangaa chama kingine kikiweka waigizaji wanaovaa vivazi vya jinsia ingine kama wagombea wao na wakawapamba, ila kwakuwa umeamua kutowatumikia sasa wanaleta hata picha zako za kazini majukwaani ili kukupakazia.

Watashindwa na kulegea kamanda, ALUTA CONTINUA!

CHASE THEM OUT OF MORO, CHASE THEM OUT OF BONGO!

ACHA MZEE BOB MARLEY AWAPASHE!

SONG: CRAZY BALDHEADS.

Them crazy, them crazy!

We gonna chase those crazy baldheads out of town!

Chase those crazy baldheads out of town!

I'n'I build a cabin;

I'n'I plant the corn;

Didn't my people before me

Slave for this country?

Now you look me with that scorn,

Then you eat up all my corn.

HATE IS THE REWARD FOR OUR LOVE!

BOB MARLEY - CRAZY BALDHEADS.
 
bangi zikiwa mbichi ni balaa ....hivi anajua hata sheria ya 1984 namba 15 ibara ya 3 ya katiba iliyopo inasemaje kweli?
 
Hivi ameshaacha ile taabia yake ya kuvua nguo?


  • Muamgalieni tu asivue nguo huyo kichaa

    swissme​




Hivyo ndivyo mnavyompakazia baada ya kuona nyinyi sio na kuwatosa!
Lakini tunashangaa nyinyi kum'shobokea' Sugu anayevua 'AKILI' na kuandika historia yake ya ununda wake shuleni na dharau kwa walimu wake. Wakiwa CHADEMA sawa, nje ya CHADEMA ati wapuuzi, wasaliti.... NA BADO!
 

MWENYEKITIwa Taifa wa Chama chaDemokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesemakuna zaidi ya wabunge70 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameomba kujiunga nachama hicho chaupinzani.Akihutubiamkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vyaNMC, Unga Ltd, jijiniArusha jana, Mbowe alisema katika orodha hiyo, wamomawaziri saba waliotajwakatika Baraza lililotangazwa juzi na Rais JakayaKikwete."Sasawanaowataja akina Ole Millya, Bananga na wengine watashangaakusikia orodha namajina ya wana CCM watakaojiunga Chadema," alisema Mbowe.Alitumiamkutano huo kuwatoa hofu wanaChadema wanaotilia shaka wimbi la viongozi nawana CCM wanaojiengua na kujiungana chama hicho kikuu cha upinzani kuwaChadema iko imara na hakiwezi kuhujumiwawala kupenyezewa mamluki kama baadhiwanavyodhani.Mbowealitamba kuwa ameongozaharakati za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 sasa ambayo imeanza kuzaa matundakwa Watanzaniakukiamini Chadema hivyo hawezi kukubali kuruhusu mtu yeyote yuleanayetumianjia ya wazi au ya kificho kukidhoofisha."Kunawatu walipata hofu nakunitumia hadi sms kuhoji iwapo akina Ole Millyawametumwa na Lowasa (EdwardLowasa, Mbunge wa Monduli) kuja kukipelelezaChadema, najua baadhi mko hapa naninawatoa hofu kuwa chama chetu ni taasisi imara isiyowezakuhujumiwa na mtu aukundi la watu kwa nguvu wala mbinu yoyote," alitambaMbowe.AliwatakawanaofikiriLowassa na wengine wenye ukwasi kuweza kununua viongozi wa Chademakujiulizakwanini hawakuweza kufanya hivyo kipindi chote walichokitumiakukijenga chamahicho ambacho ni tishio kwa CCMna mafisadi wote nchini.Mbowe alitumia fursa hiyo kupondauteuzi wa Baraza la Mawaziri akisema Rais Kikweteamevunja katiba kwa kuwateuawatu ambao hawajaapishwa kuwa wabunge kushikanafasi za uwaziri.Lichaya kuvunjakatiba kwenye uteuzi, Rais pia amekiuka kwa kuwateua Wazanzibarikwenye wizaraambazo siyo za Muungano kama Afya aliyokabidhiwa na Dk HuseinMwinyi.MakadawapokewaWaliokuwamakada wa CCM waliojiengua na kuhamia Chademawalipokelewa na wote kuahidikutumia uzoefu, juhudi na maarifa yao kisiasakukijenga chama chao kipya kwakushirikiana na wanachama na viongoziwote.OleMillya aliahidi kudhihirisha kuwa hakua mzigo CCM kama wanavyodaibaadhi yaviongozi mara alipotangaza kujiunga upinzani kwa kukifanyia chamahicho kituambacho hakitasahaulika milele akianzia na kuipenyeza Chadema kwajamii ya Wamaasai."Vijanawengi walioko ndani ya CCM wanaishi kwa matumaini yakupewa vyeo kama ukuu wawilaya na nyadhifa mbalimbali badala ya kusimamia hakina ustawi wa taifa,"alisema Ole MillyaMilana laana kwa Ole MillyaakigeukaKablaya viongozi kuanza kuhutubia, wazee wa kimila wa jamii ya Wamaasaiwaliendeshasala ya Mila hiyo kwa kumkalisha kwenye kigoda Ole Millya na kumpalaani iwapoatageuka na kukisaliti Chadema."Munguamekutuma wewe Ole Millyakuwakomboa Wamasaai kutoka kwenye utumwa waliokaa naokwa miaka 50 kama ambavyoalimtuma Mussa kuwakomboa Waisraeli kutoka kwenyeutumwa wa miaka 40 Misri.Usiwe kinyonga kwa kugeuka, angalia huu umati uliokombele yako," alisema MzeeNaftali MollelKwaupande wao aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sombetini, AlphonceMawazo na AllyBanganga aliyekuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waliojiungaChadema walisemachama hicho tawala tayari imekufa na kinasubiri kuepelekwachumba cha kuhifadhiamaiti kusubiri mazishi."Wanaohojikwanini tumetoka CCMkwanza watueleze hicho chama kilipo kwa sababu tayarikimekufa mioyoni mwa waWatazanania," alisema Mawazo huku akishangiliwaAkihutubiamkutano huouliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi, aliyekuwa Mbunge waJimbo la Arusha,Godbless Lema aliwataka wanaCCM wanaotaka kukihama chama hichona kujiungaChadema kufanya haraka kwa sababu mlango wa ‘neema' unakaribia kufungwa."Kunakipindi kinakuja siku siyo nyingiambapo kujiunga Chadema itakuwa dili.Wanaotaka kuja na wafanye hivyo sasa kablahatujafunga milango," alisema LemaKatibuwa Chadema Mkoa wa Arusha, AmaniGolugwa, alisema moto uliowashwa na Operesheni‘Vua gamba, vaa gwanda' ulioanziaArusha, sasa umeanza kuenea nchi nzima akitajamatukio ya madiwani na wanachamakadhaa kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa kuhamiaChadema.Golugwaalisema baada yamkutano wa jana Jijini Arusha, mikutano ya Operesheni ya Movement for Changeinahamia wilaya zaLongido, Ngorongoro, Simanjiro na kumalizikiaMonduli.Katikamkutano huo, Mbowe alikabidhi kadi za uanachama kwa Ole Millya,Bananga, Mawazona viongozi kadhaa wana CCM waliojiunga Chadema ambapo kwa niabaya wenzao.Hamasakubwa iligubika umati uliohudhuria baada ya mwana CCM mwenyeasili ya kiasiaaliyejitambulisha kwa jina la Adil Dewji alipopanda jukwanikurejesha kadi yaCCM na kujiunga Chadema.Wenginewaliojiunga Chadema kutoka CCMni pamoja na wenyeviti kadhaa wa Serikali zamitaa kutoka Wilaya za Arusha, Monduli,Arumeru, Ngorongoro na Longido ambaowaliwakilishwa na Ignas Mfinanga aliyekuwaMwenyekiti wa Mtaa wa Themi, jijiniArusha.
 
MWENYEKITIwa Taifa wa Chama chaDemokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesemakuna zaidi ya wabunge70 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameomba kujiunga nachama hicho chaupinzani.Akihutubiamkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vyaNMC, Unga Ltd, jijiniArusha jana, Mbowe alisema katika orodha hiyo, wamomawaziri saba waliotajwakatika Baraza lililotangazwa juzi na Rais JakayaKikwete.“Sasawanaowataja akina Ole Millya, Bananga na wengine watashangaakusikia orodha namajina ya wana CCM watakaojiunga Chadema,” alisema Mbowe.Alitumiamkutano huo kuwatoa hofu wanaChadema wanaotilia shaka wimbi la viongozi nawana CCM wanaojiengua na kujiungana chama hicho kikuu cha upinzani kuwaChadema iko imara na hakiwezi kuhujumiwawala kupenyezewa mamluki kama baadhiwanavyodhani.Mbowealitamba kuwa ameongozaharakati za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 sasa ambayo imeanza kuzaa matundakwa Watanzaniakukiamini Chadema hivyo hawezi kukubali kuruhusu mtu yeyote yuleanayetumianjia ya wazi au ya kificho kukidhoofisha.“Kunawatu walipata hofu nakunitumia hadi sms kuhoji iwapo akina Ole Millyawametumwa na Lowasa (EdwardLowasa, Mbunge wa Monduli) kuja kukipelelezaChadema, najua baadhi mko hapa naninawatoa hofu kuwa chama chetu ni taasisi imara isiyowezakuhujumiwa na mtu aukundi la watu kwa nguvu wala mbinu yoyote,” alitambaMbowe.AliwatakawanaofikiriLowassa na wengine wenye ukwasi kuweza kununua viongozi wa Chademakujiulizakwanini hawakuweza kufanya hivyo kipindi chote walichokitumiakukijenga chamahicho ambacho ni tishio kwa CCMna mafisadi wote nchini.Mbowe alitumia fursa hiyo kupondauteuzi wa Baraza la Mawaziri akisema Rais Kikweteamevunja katiba kwa kuwateuawatu ambao hawajaapishwa kuwa wabunge kushikanafasi za uwaziri.Lichaya kuvunjakatiba kwenye uteuzi, Rais pia amekiuka kwa kuwateua Wazanzibarikwenye wizaraambazo siyo za Muungano kama Afya aliyokabidhiwa na Dk HuseinMwinyi.MakadawapokewaWaliokuwamakada wa CCM waliojiengua na kuhamia Chademawalipokelewa na wote kuahidikutumia uzoefu, juhudi na maarifa yao kisiasakukijenga chama chao kipya kwakushirikiana na wanachama na viongoziwote.OleMillya aliahidi kudhihirisha kuwa hakua mzigo CCM kama wanavyodaibaadhi yaviongozi mara alipotangaza kujiunga upinzani kwa kukifanyia chamahicho kituambacho hakitasahaulika milele akianzia na kuipenyeza Chadema kwajamii ya Wamaasai.“Vijanawengi walioko ndani ya CCM wanaishi kwa matumaini yakupewa vyeo kama ukuu wawilaya na nyadhifa mbalimbali badala ya kusimamia hakina ustawi wa taifa,”alisema Ole MillyaMilana laana kwa Ole MillyaakigeukaKablaya viongozi kuanza kuhutubia, wazee wa kimila wa jamii ya Wamaasaiwaliendeshasala ya Mila hiyo kwa kumkalisha kwenye kigoda Ole Millya na kumpalaani iwapoatageuka na kukisaliti Chadema.“Munguamekutuma wewe Ole Millyakuwakomboa Wamasaai kutoka kwenye utumwa waliokaa naokwa miaka 50 kama ambavyoalimtuma Mussa kuwakomboa Waisraeli kutoka kwenyeutumwa wa miaka 40 Misri.Usiwe kinyonga kwa kugeuka, angalia huu umati uliokombele yako,” alisema MzeeNaftali MollelKwaupande wao aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sombetini, AlphonceMawazo na AllyBanganga aliyekuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waliojiungaChadema walisemachama hicho tawala tayari imekufa na kinasubiri kuepelekwachumba cha kuhifadhiamaiti kusubiri mazishi.“Wanaohojikwanini tumetoka CCMkwanza watueleze hicho chama kilipo kwa sababu tayarikimekufa mioyoni mwa waWatazanania,” alisema Mawazo huku akishangiliwaAkihutubiamkutano huouliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi, aliyekuwa Mbunge waJimbo la Arusha,Godbless Lema aliwataka wanaCCM wanaotaka kukihama chama hichona kujiungaChadema kufanya haraka kwa sababu mlango wa ‘neema’ unakaribia kufungwa.“Kunakipindi kinakuja siku siyo nyingiambapo kujiunga Chadema itakuwa dili.Wanaotaka kuja na wafanye hivyo sasa kablahatujafunga milango,” alisema LemaKatibuwa Chadema Mkoa wa Arusha, AmaniGolugwa, alisema moto uliowashwa na Operesheni‘Vua gamba, vaa gwanda’ ulioanziaArusha, sasa umeanza kuenea nchi nzima akitajamatukio ya madiwani na wanachamakadhaa kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa kuhamiaChadema.Golugwaalisema baada yamkutano wa jana Jijini Arusha, mikutano ya Operesheni ya Movement for Changeinahamia wilaya zaLongido, Ngorongoro, Simanjiro na kumalizikiaMonduli.Katikamkutano huo, Mbowe alikabidhi kadi za uanachama kwa Ole Millya,Bananga, Mawazona viongozi kadhaa wana CCM waliojiunga Chadema ambapo kwa niabaya wenzao.Hamasakubwa iligubika umati uliohudhuria baada ya mwana CCM mwenyeasili ya kiasiaaliyejitambulisha kwa jina la Adil Dewji alipopanda jukwanikurejesha kadi yaCCM na kujiunga Chadema.Wenginewaliojiunga Chadema kutoka CCMni pamoja na wenyeviti kadhaa wa Serikali zamitaa kutoka Wilaya za Arusha, Monduli,Arumeru, Ngorongoro na Longido ambaowaliwakilishwa na Ignas Mfinanga aliyekuwaMwenyekiti wa Mtaa wa Themi, jijiniArusha.

Bavicha mmeanza kudata mapema,hii habari ya May 6 2012 inafanya nini sasa humu,hahahahahhaha viroba vya mchana ni noma,mwaka huu mtatembea na chupi kichwani,
 
Hivyo ndivyo mnavyompakazia baada ya kuona nyinyi sio na kuwatosa!
Lakini tunashangaa nyinyi kum'shobokea' Sugu anayevua 'AKILI' na kuandika historia yake ya ununda wake shuleni na dharau kwa walimu wake. Wakiwa CHADEMA sawa, nje ya CHADEMA ati wapuuzi, wasaliti.... NA BADO!

sugu kafanya hayo enzi za adolesensi ambapo mimi na wewe tumepitia but afande sele kafanya hayo enzi za utu uzima wake na akiwa na familia yake.....bange mbaya sana

Alliance for Cowards and Traitors!
 
sugu kafanya hayo enzi za adolesensi ambapo mimi na wewe tumepitia but afande sele kafanya hayo enzi za utu uzima wake na akiwa na familia yake.....bange mbaya sana

Alliance for Cowards and Traitors!

Kufanya mambo kwenye 'adolescence' ni kosa pia lakini linasameheka, SHIDA NI PALE MTU MZIMA ANAPOANDIKA HISTORIA YAKE HUKU AKIJIVUNIA UJINGA ALIOFANYA KWENYE 'ADOLESCENCE'. HAPO NDIPO MBUNGE SUGU ALIPOJIVUA AKILI!
 

Kufanya mambo kwenye 'adolescence' ni kosa pia lakini linasameheka, SHIDA NI PALE MTU MZIMA ANAPOANDIKA HISTORIA YAKE HUKU AKIJIVUNIA UJINGA ALIOFANYA KWENYE 'ADOLESCENCE'. HAPO NDIPO MBUNGE SUGU ALIPOJIVUA AKILI!

Ndio maana ikaitwa historia iwe mbaya au nzuri!!

Alliance for Cowards and Traitors!!
 
Morogoro haiwezi kuongozwa na mbunge muhuni kama afande yule ameshazoea uhuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom