Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Daah..! Amini usiamini hii imetokea jana katika kipindi cha XXL cloudz fm,watangazaji walikuwa wanaulizana "LIVE ON AIR" kwamba nani aliyejamba humo studio...kweli hii ni Redio ya kipekee
wale ni wehu...
Khe! Mkuu wa chuo kumbe kny thread yako ulikuwa humaanishi ee?nimegundua unapenda sana chitchat na MMU
nimesikia waziri Dr. Shukuru Kawambwa akiisifia redio hii sana jana asubuhi kutoka Dodoma!!!!
ukisikia wanayoongea utadhani huwa wanapata msuba kabla ya kuruka hewani.
Daah..! Amini usiamini hii imetokea jana katika kipindi cha XXL cloudz fm,watangazaji walikuwa wanaulizana "LIVE ON AIR" kwamba nani aliyejamba humo studio...kweli hii ni Redio ya kipekee
Ukisikia wanayoongea utadhani huwa wanapata msuba kabla ya kuruka hewani.
ushuzi upi sasa? Ni ule unaotoka taratibu na kusema Yusufffff au ule wa sauti kubwa Puuuuu? Nalog off
sasa si wangeweka muziki na kutoka nje ya studio!Nalog offhahahaaa! Haukuwa na sauti ila waliskia harufu ;-D
sasa si wangeweka muziki na kutoka nje ya studio!Nalog off