Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
InalipaRoho mbaya tuuu.
Ng'ombe dumeNiko mbuyuni hapa nanunua mahitaji…nikununulie nini Bujibuji Simba Nyamaume
@chizicom na wenzako, wasalimie MoshiDar wamebaki waswahili na wanga
nikajibu mie nipo Magomeni, wewe uko wapi ? akajibu "Nipo Kibaha nimtumie nauli nije"
nikatengeneza account nyingine, nikamcheki tena, nikasema mie nipo Kibaha wewe upo wapi ?
akajibu "Nipo Tegeta nitumie nauli nije"







