Nani huyu jamani

Halaf sisi wala huwa hatuchukii,,ila sasa tukirusha sie utasikia malayaa ooh hili neno malaya mi mpaka lishanikinai watafute jipya,, espy umemuona docta lakin vizuriii
Wanaonaga ndio tusi zito kuliko yote. Kimjazacho mtu ndicho kimtokacho, wao ndio wako hivyo.

Mi sitaki kuchuma dhambi hivyo simuangalii[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wanaonaga ndio tusi zito kulio yote. Kimjazacho mtu ndicho kimtokacho, wao ndio wako hivyo.

Mi sitaki kuchuma dhambi hivyo simuangalii[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Eee we si umininyima kaboom
Na nitamrusha kweli ngoja tu mpaka wafe wanaokufa kisa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…