Nani huyu jamani

Jf hakuna Uhuru tena inawezekana member akatufurahisha members wote kama kitu hujakipenda unakausha kimtindo
Yaan Kelvin halaf ni wa kwanza kuja kunisoma raha kweli,,hili jukwaa la photo walitaka nirushe picha zao,
Halaf mi siwezi kuwafurahisha nafurahisha moyo wangu
Tatizo ni kuwa hapa jf baadhi yao hawapendi kama hivi namsifia docta aaargh basi ntaanza wasifia na wao
Na ntawakera sanaaa
 
Yaani mtu aandike vinavyomfurahisha wengine wanune chaaaah!!
Kama mtu anakuudhi wewe muignore au usifungue nyuzi zake.
Hivi umecheka eee,,watu wanachekesha sana na docta ntamrusha sana humu tu ndio wajiandae kama wanamfikia docta wanipe picha zao nirushe kama hata hawafanani waache ,yaan mtu anaudhika anavimba anatukana utafikiri mi mkewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].siku nikionana na docta hizo picha watalia wanaobweka wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mamaa Sabrina tupia picha kwa raha zako watu kama hao unapita kama hujawaona kama wana chuki wavae miwani wasione gere

[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Yaani mtu aandike vinavyomfurahisha wengine wanune chaaaah!!
Kama mtu anakuudhi wewe muignore au usifungue nyuzi zake.
Mbona tu akitukana anakamatwa.
Kiufupi unachokitoa lazima kina effecet kwenye hadhra . Kiwe kizuri ama kibaya.
Ila huyu mama yaliyomo yamooo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…