Nani huyu jamani

Dawaaa
 
Wasonyeee wakichoka wakanywe maji walale
 
Wasonyeee wakichoka wakanywe maji walale
 
Shunie nakojoooooooaaaaa ,tuwalete wao ili iweje kwanza wana sura za kuwekwa hapa mmmmssssiuuuu ,,watupishe hapa ukiona mtu anapovuka jua ni jitu baya linatishaa hata huwezi muangalia,,wasubiri wanaowapenda watawasifia
Fanya ulete mama tuone tufurahi sie wanataka tuwaze viwanda masaa yote tuliviahidi sie?
 
Mkuu unataka kuniona live? Tatizo tunaogopa humu wanaume wa humu akikuona tofauti na mawazo yake alivyokufikilia anakuja kukuanzishia mthread ana sura mbaya anatisha
Na hapo sasa ukute nae hovyo tu
 
Me jaman napenda mwanaume mwenye sura ngumu [emoji85][emoji85][emoji85] halaf jeusi
Mi bwana sura sio shida kama ana akili na ana hela ntampenda. Napenda sana wanaume wenye akili na wenye sura nzuri kidogo. Sura ngumu siwezii. Mi mbaya bwana mbaya nae wa nini.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au hivyo viwanda sisi tulimchagua huyo mzee wao wa viwanda life's too short fanya unachoona kinakufurahisha na kukupa amani ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…