Hivi Angela ni RAI wa Tanzania?
Baba ni mtu wa kutoka visiwa vya Ngazija!
Mama Yake Esther Mkwizu (??? - Connections zake na "SYSTEM" ya "FISADIS" ni nyingi mno na ndiye mentor wa Angela)
Ni kweli ameolewa na Mtoto wa Marehemu Prof Kairuki (Mbelwa : PA wa Membe??)
Kwa AG alishatoka (aliomba likizo ya two years without pay???)
Yuko Vodacom (Legal??? RA??? )
We should expect very little from Angela - Anafahamu kidogo sana kuhusu Watanzania na Tanzania!
Kabla hatujaanza kumponda dada wa watu ni vizuri kila mmoja akadeclare interest. Huyu ni mtu mpya mimi sijawahi kumsikia popote hata kwenye magazeti ya udaku, la kunishangaza ni mashambulizi nayoyaona hapa. Lengo lake ni nini? Hakuna hata mmoja alietoa ushahidi wa tuhuma zake. Nimekuwa nasema na sasa narudia tena HEKIMA YANGU INANIAMBIA, SI SAWA KUMHUKUMU MWENZIO BILA USHAHIDI WA KUTOSHA.
Tukimpa moyo na support anaweza kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.
Si kweli kuwa kila mtu anaweza kufika kwenye nafasi ya uongozi wa nchi, na haiwezekani kwa mtoto ambaye hana background ya maana ndani ya CCm akapita kwa kura nyingi kama yeye. HUU NI UKWELI NA UTABAKI UKWELI.
Vyama ambavyo vinaroom za namna hiyo ni vya upinzani of which baada ya kukaa madarakani kwa muda mfumo utakuwa uleule.
Respect.
Ninakubaliana nawe HEKIMA UFUNUO...ni muhimu kufanya uchambuzi ambao upo supported na data badala ya hoja za kusadikika. Vijana wasomi kama hawa waliojitokeza badala ya kuwakatisha tamaa tuwape moyo...
Kwa taarifa nilizonazo binti huyu sio mgeni kihivyo kwenye siasa ndani ya CCM, labda tu yeye strategy zake za siasa haziku involve media kiasi cha kuwa maarufu kama akina Shyrose na wengineo... Katika UWT yeye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Dar-es-Salaam... Pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Dar-es-Salaam... Amejikita sana kwenye shughuli za kijamii za kutoa msaada wa kisheria kwa akina Mama hasa wajane na pia amekuwa active kwenye kuwalink akina mama na programu mbalimbali za kuwezesha kuichumi..... IN other words, yeye yupo directly linked na constituency yake,,,no wonder wanamfahamu na kumkubali kiasi cha kumchagua kwa kura nyingi hivyo..... Kipindi alichokuwa pale wizara ya sheria amekuwa very active kwenye kupigania maslahi ya wafanyakazi..ndio maana walimchagua kuwa Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara na pia kwenye TUGHE Sheria... Katika kipindi alichokuwa MSaidizi wa Mama Nagu, alipigania sana uanzishwaji wa idara ya Legal Aid wizarani, jambo ambalo limefanikiwa leo hiii, idara hiyo imeanzishwa na kutoa msaada kwa watu wengi wenye kuhitaji.... KWA HAYA TU...ni matumani yangu, endapo atakuwa Mbunge....atakuwa one of the serious MPs tunaowahitaji..
Kama ma lawyer wasomi wenyewe ndio hawa, we really need that Cultural Adjustment Programme.
A major cultural overhaul...that's what we need....an adjustment may not be enough!!!
Na kama ma lawyer wenyewe ndio hawa basi sina haja ya kutafuta lawyer nikipatwa na matatizo. Nitajitetea mwenyewe vizuri tu kuliko hawa wasiojua hata kuandika.
Halafu sielewi walifaulu vipi hata shuleni. Kuna Prof. wangu mmoja alikuwa persnickety kwelikweli. Ana maindi kila kitu grammar, usage, mechanics, and spelling. Sasa sijui hawa walifundishwa na walimu gani tu....
Nakubaliana na hoja za umuhimu wa watu wetu kujua kuandika...sio kwa wanasheria tu bali kila fani. Moja ya sifa zake binti huyu ni kuandika ndio maana kabla hajatoka Sheria idara ya mwisho aliyokuwa akiifanyia kazi ni kwa Chief Parliamentary Draftsman..sifa ya kuwa huko ni UANDISHI wa Lugha zote Kiswahili na Kiingereza...na huyu binti ana skills za ziada za uandishi kwa KIFARANSA...(amesomea Diploma ya Lugha ya Kifaransa, University of Nantes)..
Nisijue tu yaliyomo kwenye mtandao ambayo yanakuwa referred kaandika mwenyewe au mtu wake anayesimamia biashara zake
Namfahamu sana Angela Kairuki, ni mwanasiasa mzuri sana na ataleta challenge kubwa Bungeni naamini..
Kinachoniogofya ni tetesi ninazozisikia kwamba amekuwa Supported na Rostam kama alivyomsaport Ngeleja.
Eti alimtoa Angela kwa AG akampeleka Vodacom then akampenyeza kwa viti maalum....
Angela nakuaminia wewe sio mbabaishaji na we women tunasubiri mambo makubwa kutoka kwako...
Believe me ur better than Rostam Aziz u dont need backup from him lol
then tunakutegemia kuwa Rais ajae, bila huyo fisadi
A major cultural overhaul...that's what we need....an adjustment may not be enough!!!
Na kama ma lawyer wenyewe ndio hawa basi sina haja ya kutafuta lawyer nikipatwa na matatizo. Nitajitetea mwenyewe vizuri tu kuliko hawa wasiojua hata kuandika.
Halafu sielewi walifaulu vipi hata shuleni. Kuna Prof. wangu mmoja alikuwa persnickety kwelikweli. Ana maindi kila kitu grammar, usage, mechanics, and spelling. Sasa sijui hawa walifundishwa na walimu gani tu....
NN, that word underlined and in bold, how do you pronounce it nimeshindwa kabisaaaaaaaa
Hit me up and I'll tell you how it is pronounced...