Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
wewe ndiye unakaribia, kupatia, Kaolewa na Balozi Mbwelwa mwandishi wa hotuba za JK wa zamania ambaye kwa sasa ni balozi. sio mhaya wala mkomoro
Waandika hotuba za JK walikuwa ni January Makamba then Togolani Mavura,mbona anatumia surname ya Kairuki ?

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Hivyo viingereza vyako havijasaidia kujibu swali lililoulizwa
 
Kati ya vitu vinavyomsumbua ni uhakiki wa Bashite!!!
 
Huyu mama ana heshima jamani hata akiwa anasalimiana na makamu wa rais ambaye ni mwanamke lazima atainama kidogo kama heshima makabila ya nyanda za juu kusini kuna utamaduni huu namkubali sana Ni mke " material"
Usikute kwa mme wake hana hiyo heshima
 
Ivi naomba kuuliza Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment na Utawala Bora Angela Kairuki alizaliwa mkoa gani na kwao kabisa ni wapi?
Jiambilishe kwanza wewe mtoa post wewe ni nani na unaishi wp na pia umezaliwa wp.halafu mie ntkujibu maswali yako yoote kuhusu kairuki.na km unafkiri yupo pekee.unajidanganya.AMEOLEWA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…