Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
Ana mwili mkubwaaaa nadhani atakuwa na asili ya huko Zanzibar. Ana mwili mkubwa sana na umelingana kote. Huenda akawa na kilo siyo chini ya 140kg
 
Ni mpare na 2015 alikuwa agombee jimbo la same Magharibi lakini Mathayo D Mathayo yule aliyekuwa waziri mzigo alimzidi kura za maoni
 
Mtoto wa Kipare huyo Jasmine kaolewabna Mbwela mtoto wa Hubert Kairuki akapewa jina la Angela
wewe ndiye unakaribia, kupatia, Kaolewa na Balozi Mbwelwa mwandishi wa hotuba za JK wa zamania ambaye kwa sasa ni balozi. sio mhaya wala mkomoro
 
Mzuri huyo mama mpaka raa ananoga na anaakil sanaaaaa
 
Huyu mama ni mtulivu na ana staha hata ktk maongezi yake. Mungu amjalie mume arudi kama RC maana huko China cjui huyu mama ana kwenda mara ngapi kufuata haki yake ya .....
 
Anatokea nchi gani mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…