Nani huwa inamkuta hii?

Inatokea kwa wengi wetu, mimi mmojawapo, wenye moyo usio na subira huwa wanajiondoa uhai ila kama unapitia magumu acha yaje yatakuacha na uzoefu
Haya mambo yaliwah nitokea zaman nikaamua nijitoe uhai ila sikufa mpaka leo huwa nashangaa ilikuwaje nikapona

Baadae nikapata mambo yakaenda vzur sana lakin sahv hali imerudi tena

Hilo pozi la huyo alieketi ni mimi kabisa nikiwa nimemaliza kula na hapo ukute mke yupo pemben ananipa malalamish mara sjanunua hiki mara kile

Ila kwasasa nilishaapa staweza tena kurudia kujitoa uhai,ni bora nikimbie familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…