Zanta JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,028 Reaction score 798 Feb 7, 2013 #61 Mwali said: Labbaik, nimeitika Click to expand... Karibu, ndo nini kupotea hivyo bila hata kuaga? Mzima lakini wewe? Mwalimu nanii hajambo?
Mwali said: Labbaik, nimeitika Click to expand... Karibu, ndo nini kupotea hivyo bila hata kuaga? Mzima lakini wewe? Mwalimu nanii hajambo?
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Feb 8, 2013 #62 Mwali said: EMT yupo tu, hajaenda popote. he is just a very close friend. Uncle, utakumbuka sijawahi mtambulisha kama boyfriend In fact groupe yetu ni watu tatu: Kongosho, EMT na mimi. "the mighty threesome". hahahahaha Click to expand... well well well...... I reckon He is just a friend.....LOL... Mwali all this time umepotea najua ndo mpo wote.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwali said: EMT yupo tu, hajaenda popote. he is just a very close friend. Uncle, utakumbuka sijawahi mtambulisha kama boyfriend In fact groupe yetu ni watu tatu: Kongosho, EMT na mimi. "the mighty threesome". hahahahaha Click to expand... well well well...... I reckon He is just a friend.....LOL... Mwali all this time umepotea najua ndo mpo wote..
EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,357 Feb 8, 2013 #63 Mwali said: eti eh? Yuko wapi jamani? (siku nyingi sijamtia jichoni) Click to expand... Duh! Itabidi nikatafute mawani.
Mwali said: eti eh? Yuko wapi jamani? (siku nyingi sijamtia jichoni) Click to expand... Duh! Itabidi nikatafute mawani.
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Feb 10, 2013 Thread starter #64 Kaizer said: well well well...... I reckon He is just a friend.....LOL... Mwali all this time umepotea najua ndo mpo wote.. Click to expand... Yeah, nikipotea sana muulizeni yeye EMT au Kongosho we might be fishing or doing indoors activities (Siku za mvua) Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: well well well...... I reckon He is just a friend.....LOL... Mwali all this time umepotea najua ndo mpo wote.. Click to expand... Yeah, nikipotea sana muulizeni yeye EMT au Kongosho we might be fishing or doing indoors activities (Siku za mvua)
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Feb 11, 2013 #65 Mwali said: Ndio nimegundua. Nilidhani nitakua peke yangu, kumbe... Click to expand... lindo na leo linaonekana mbuu wengi ndio maana hamjalala.... poleni zenu mid night ni muda wa maruhani kufanya kazi zao shauri yenu
Mwali said: Ndio nimegundua. Nilidhani nitakua peke yangu, kumbe... Click to expand... lindo na leo linaonekana mbuu wengi ndio maana hamjalala.... poleni zenu mid night ni muda wa maruhani kufanya kazi zao shauri yenu