Mkomoli JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 382 Reaction score 197 Mar 9, 2017 #41 uyo klistina mtoe apo kamfananishe na akina bale apo unatakiwa umuweke zizu
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 300 Mar 9, 2017 #42 Kwa hawa watatu wa kwanza ni Gaucho, wa pili Ronaldo de lima na mwingine anamalizia namba iliyobaki
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,610 Mar 9, 2017 #43 kuseranasera said: Gaucho alizaliwa ili afanye vitu uwanjani watu waupende mpira wa miguu na Christian kaja kutajirisha mpira kwa kufunga magoli tu huyu di Lima simjui Click to expand... Duh humjui delima we sio mtu wa mpira record yake ya ufungaji haijavunjwa na yeyote dunian
kuseranasera said: Gaucho alizaliwa ili afanye vitu uwanjani watu waupende mpira wa miguu na Christian kaja kutajirisha mpira kwa kufunga magoli tu huyu di Lima simjui Click to expand... Duh humjui delima we sio mtu wa mpira record yake ya ufungaji haijavunjwa na yeyote dunian
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,927 Reaction score 183,353 Mar 9, 2017 #45 Facilitator said: Gaucho ni noma asee. Cheki balaa yake hapa Click to expand... Damn!!!!
M machage nyitika Member Joined Oct 31, 2016 Posts 20 Reaction score 8 Mar 9, 2017 #46 Da kiukweli gaucho ni noma ila gaucho huwezi kuwalinganisha na Ronado maana hao ni washambuliaji na gaucho alikuwa kiungo ila hata hivyo jamaa ni hatari sana
Da kiukweli gaucho ni noma ila gaucho huwezi kuwalinganisha na Ronado maana hao ni washambuliaji na gaucho alikuwa kiungo ila hata hivyo jamaa ni hatari sana
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 Mar 10, 2017 #47 Wekeni clip za hao wengine tuwaone nao.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Mar 10, 2017 #48 Gaucho ni jini bahari