Wagombea wanatakiwa wawe watatu! Kumuacha Lucas Mwashambwa kwenye huo mtanange wako wa kumpata mshindi, ni uonevu wa wazi kabisa.
Tlaatlaa huyu ni chawa kunguni
Bila kuwepo chawa mbobevu kapuku mbubujikwa Lucas Mwashambwa kura hii hainogi
Nakazia, anashushia na Kojo la Alfajir la Mama.Umemsahu mwashambwa, huyu ye anaweza kula hata ma,vi ya maama!