Nani awaokowe Watanzania

Nani awaokowe Watanzania

sina shida ya uteuzi ukweli lazima niuseme...

tatizo lenu haters mnataka kila mtu awe haters mwenzenu akiwa upande mwingine mnakasirika..

magufuli na makonda wanajitahid kunyoosha nchi...

nyinyi wenyewe zamani mlisema serikal inafuga wauza madawa na mafisadi leo inawakazia mnalalamika tena...
Wauza unga wamejificha kwa hii approach ya kuropoka kwenye media.

Hakuna anayepinga vita dhidi ya drugs, ila tunapinga method za kipumbavu mnazotumia.
 
Kevepeeeeeee
Yan utoe maisha tuu bila sababu s utakua chezeeeee
 
Huo mwandiko na misamiati ya makonda......................
 
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
Kwahiyo wewe ndio Una mapenzi ya kweli na hii nchi? Usingewaonea watz wasio na hatia kwakuwatangaza kwenye media kwenye ishu nzito kama hiyo bila uchunguzi kwa chuki zako binafsi ili kumlinda demu wako na kunakutafuta kiki ili uteuliwe kuwa waziri Fulani hivi kwa maslahi ya chama chako.
Huwezi kijitoa mhanga msaka tonge kama wewe.
 
Naona ataomba pooo baada ya muda
 
"....Ni kawaida kwa afrika, hata Serikali kutokujua inachopaswa kutenda kwa raia zake...."
TONY Blair
 
Naona Leo makaburi ya kale ya RC yanafukuliwa! Teh...!
 
Tunaongelea TAIFA hapa hatuongelei CCM wala CDM ndiyo sababu hata muanzisha mada hakumuweka mwenyekiti wa CCM.Jibu hoja acha vihoja.
Basi anashindwa kutetea sheria katika sacos ndogo kama hiyo vipi ataweza kusimamia sheria za nchi huyu jamaa yupo kisifa zaidi kuliko uhalisia wenyewe
 
Basi anashindwa kutetea sheria katika sacos ndogo kama hiyo vipi ataweza kusimamia sheria za nchi huyu jamaa yupo kisifa zaidi kuliko uhalisia wenyewe

Saccos ipi tena kaka,maana hujaeleweka hapa
 
Back
Top Bottom