Nani awaokowe Watanzania

Watu wakijitolea kuitetea na kuikosoa serikali mnaanza kumshambilia oh mara akili hana mara mchochezi mnaweza hata mkamkana, kama lisu, mbowe, zitto, mdee
 
Awaokowe=Awaokoe
Nasikia=Ninasikia
Ktk=Katika
Ninani=Ni nani
Kuyatowa=Kuyatoa
c.c FaizaFoxy
Anawahenyesha huyu jamaa mpaka ndimi zenu mmetoa nje! Fikiria hata kale kajarida kenu badala ya kuandika mambo ya nsingi kuhusu chama, sasa hivi kanamuandika Makonda tu!
 
Tayari baadhi ya WAPUUZI humu ndani mmeisha badili GIA TENA.....badala ya kujikita kwenye MAADA mnaaanza kuongea upuuzi wenu kwa hii MAADA ni kithibitisho TOSHA ya kuwa MAKONDA ana mapenzi ya dhati sana na NCHI HII sema tatzo kubwa la WATANZANIA NI WANAFKI MNO TENA MNO......DAAAH ata kama MALAIKA angaetawala NCHI HII.....still kuna wapuuzi humu wangekuja na yao
Mkuu njoo na akaunt halali basi
 
Bahati mbaya ni kuwa kila mwenye nia ya dhati ya kuisadia jamii ya kitanzania uwa anaishia kuchafuliwa kukatishwa tamaa kubebeshwa lundo la tuhuma nk ili mradi kuuwa nia na dhamira yake ya dhati katika kuikomboa nchi hii.
Kuna kuchafuliwa na kujichafua. Ukibebeshwa tuhuma za uongo, hata zingekuwa lundo kubwa kiasi gani, rahisi sana kuzipangua. Ngoma inakuwa nzito wewe mwenyewe unapokuwa so mnyoofu katika mwenendo wako.

Kudos though to camarade makonda.
 
Anawahenyesha huyu jamaa mpaka ndimi zenu mmetoa nje! Fikiria hata kale kajarida kenu badala ya kuandika mambo ya nsingi kuhusu chama, sasa hivi kanamuandika Makonda tu!
Ndio maana kwenye majibu ya hii mada nimesema kitakachoweza kutukomboa ni utaifa.
...Utaifa tu, basi.
 
Unaonaje ukaanzisha uzi kwa hili ?
Halafu Verified Id yake iko inactive kwa muda mrefu sana
Au ndio unakuja na ID feki Mkuu
Jibu swali vipi mihadarati hapo ufipa ataripoti kituoni?
 
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
unataka atokee mesia kama Jesus? hakuna siku hizi chakufanya fight kivyako for your family maisha ni magumu sana kufikilia Macro ila tunaweza komaa in Micro level,usiwaze kuchange life ya wengine kabla hujachange life yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom