Nani awaokowe Watanzania

Nani awaokowe Watanzania

Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
Mkuu wa nchi anapendwa sana wewe unamwaribia kiaina mkuu. I’m just saying! Wewe ulisema eti “Mengi ndo mchagga bora”, siyo ubaguzi huo? Unafanya wenye kusema rais ni mbaguzi wapate point!
 
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
Swali kama hili, liliulizwa mahali
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

Mungu akauliza, Nimtume nani aende kuuokoa ulimwengu?. Neno akajibu unitume mimi.

Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.

Hii ni reference ya Mungu na ulimwengu,
kwa upande wa Tanzania mimi niliwahi kuandika humu haya haya yafuatayo
Kwanza nilimtabiria mtu, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Kisha nikaja kuandika Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Nikashauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Nikauliza Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Nikasema Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Hivyo nilipomsikia hapa kuwa 2030 atakuwepo... Makonda, Kumbe kuna Watu wanapanga Njama za Kuharibu na Kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake kwa Ndoto za 2030? Ni kina nani hao?
View: https://youtu.be/y2MrWtuQOCs?si=vkHEk8TnMakhNbSw

Tena nikasema Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
Hivyo 2030 Kazi ipo!.

P
 
Sasa hakuna kama Mungu tumwombe atupe njia ila mimi sioni tatizooo hapo kila mtu anamaliza muhula wake anasepa
 
Adui Mkubwa wa watanzania ni watanganyika wenyewe.

1.Watanganyika ni wasaliti.
2. Wauaji.
3. Watekaji.
4.Wezi.
5. Mafisadi.
6. Wahujumu Uchumi.
7. Waongo.
8. Michawa.
9. Zwazwa.
10. Umasikini, ujinga, Maradhi.
Hunijui so usinijumuishe Muuaji ni wewe na kizazi chakoo kwani nyie nini aliyeuwa 29th of october si ndugu yako kakojoe akili ipandee
 
Swali kama hili, liliulizwa mahali
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

Mungu akauliza, Nimtume nani aende kuuokoa ulimwengu?. Neno akajibu unitume mimi.

Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.

Hii ni reference ya Mungu na ulimwengu,
kwa upande wa Tanzania mimi niliwahi kuandika humu haya haya yafuatayo
Kwanza nilimtabiria mtu, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Kisha nikaja kuandika Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Nikashauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Nikauliza Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Nikasema Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Hivyo nilipomsikia hapa kuwa 2030 atakuwepo... Makonda, Kumbe kuna Watu wanapanga Njama za Kuharibu na Kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake kwa Ndoto za 2030? Ni kina nani hao?
View: https://youtu.be/y2MrWtuQOCs?si=vkHEk8TnMakhNbSw

Hivyo 2030 Kazi ipo!.

P

Kwamba nyama choma aka matako baar awe RAIS LABUDA Raisi wa chole punguzeni mizaha jamani
 
Hunijui so usinijumuishe Muuaji ni wewe na kizazi chakoo kwani nyie nini aliyeuwa 29th of october si ndugu yako kakojoe akili ipandee

Acha nijishushe kukujibu.
1. Majeshi ya Ulinzi na Usalama yalikuwa wapi kuwalinda watanganyika hiyo 29 October

2. Askari wetu ni suspect wa mauji, Wengi wao ni watanyika.

3. Mkuu wa Majeshi CDF na IGP ni watanganyiaka walishindwa kuwalinda ndugu zao.

FIKICHA AKILI.
 
Anayeamua nani awe rais wetu 2030, sio mimi, sio wewe, sio yeye wala sio wao, ni YEYE!, kama ni yeye aliyeandikiwa na YEYE, then ni yeye!.
P
2010 CCM walimpola Dr silla 2015 CCM wakapola pia kwa Lowassa 2020 magufuli akaamua qicheze mechi pekeyake 2025maiwaji ya halaiki Kama ndio hivi Basi makonda kweli ayakua raisi
 
Be positive and optimistic, dont be negative and pessimist
P
Nimeuliza tu wakigoma tena na kuingia road kufunga barabara na magogo vipi mtawaua tena au mtawafanyaje? Sio mnajipangia tu 2030 atachukua fulani mmesikia ndio anaetakiwa na wananchi au ndio mnaandaa mabeseni na mapipa ya damu mapema?
 
Kama nilivyosema anayepanga ni nani awe rais wetu 2030 ni YEYE pekee, ila kwa bahati mzuri, mimi Mzee wa Masauti, rais wa 2030 namjua, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

vijana wakiingia barabara, hawataguswa, na badala yake atapokea maandamano yao viwanja vya Ikulu!,
P
 
Back
Top Bottom