Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani awaokowe watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Makonda, Jul 11, 2011.

 1. P

  Paul Makonda Verified User

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,842
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kivipi?
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,557
  Likes Received: 1,350
  Trophy Points: 280
  Amani, upole na uvumilivu!!
   
 4. A

  Ammynito New Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anahitajika mtu wa watu na si "mtu wa watu".....................
   
 5. s

  sindo Senior Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tukiwa serious tutapata mtu, na mtu atakigopa kiti hivyo atakuwa makini
  Angalia Rwanda wapo wapi sasa
  hapa uswahiba, undugu, ukabila na ugirlfriend ndio kipaumbele
   
 6. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Akitoa Maisha yake ndo Kelele zitaisha?Au kwa kuwa atakuwa marehemu ndo hato sikia makelele!
   
 7. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakuna marefu yasiyo na ncha. Hatuwezi kuendelea na pumba pumba hizi za magamba milele na milele. Jua wazi siku yao ipo na inakuja.
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wishful thinking. Jamaa wanajua kuwa watanzania wamelala, wangekuwa wameamka kama ilivyo Misri leo ujinga ungekoma. Mkombozi wa mtanzania anatakiwa kuwa mtanzania mwenyewe, aamke toka usingizini wanasiasa wataacha kutufanya wajinga.
   
Loading...