Nani awaokowe Watanzania

Nani awaokowe Watanzania

sina shida ya uteuzi ukweli lazima niuseme...

tatizo lenu haters mnataka kila mtu awe haters mwenzenu akiwa upande mwingine mnakasirika..

magufuli na makonda wanajitahid kunyoosha nchi...

nyinyi wenyewe zamani mlisema serikal inafuga wauza madawa na mafisadi leo inawakazia mnalalamika tena...



Umesahau kuandika namba yako ya simu Kwa ajili ya uteuzi.
 
Tayari baadhi ya WAPUUZI humu ndani mmeisha badili GIA TENA.....badala ya kujikita kwenye MAADA mnaaanza kuongea upuuzi wenu kwa hii MAADA ni kithibitisho TOSHA ya kuwa MAKONDA ana mapenzi ya dhati sana na NCHI HII sema tatzo kubwa la WATANZANIA NI WANAFKI MNO TENA MNO......DAAAH ata kama MALAIKA angaetawala NCHI HII.....still kuna wapuuzi humu wangekuja na yao
Hili ni jukwaa,watu wanatoa maoni yao, usishangae hata ulichokiandika wewe wengine wakaona UPUUZI, ni vizuri kuwa na staha na uvumilivu.
Ukiamua kutetea wewe jikite kwenye kutete kama akili yako inavyokutuma na ukikuta mwenzio anakuwa mlengo tofauti basi jikite kwenye hoja kumrudisha upande wako.
 
Paul Makonda kaka nakukubali sana

wewe ni jembe... achana na bavicha ambao hawajui wanachokipigania...

tukipata viongozi wenye uthubutu kama wewe na magufuli wengi.... kama 5000 hivi hii nchi ingeendelea haraka sana
BAVICHA wakiongozwa na mwenyekiti wao Kasheku Musukuma......
 
hivii huyu ndio yulee MTANGAZAJI WA RADIO TABORA? au ni yuleee aliyetumia jina la mtangazaji huyu?
nianzie hapa kwanza?

cc: tetty

Ndiye yeye aliyetumia jina la Mtangazaji.Nasikia ati ameshalipwa na GSM
 
Nan analia.? Tangu lin watanzania mmekuwa na maisha mazur?
 
Chadema wamesahu vita wanayo pigana... Sasa ni kudandia kila wanachokiona...
 
Lowasa amewafanya Chadema wasije na agenda maalumu
 
Back
Top Bottom