Nani awaokowe Watanzania

Nani awaokowe Watanzania

sisi atujui kisukuma hivyo hatujaelewa ulichoandika

ila kwa wingi wenu wasukumaji huenda mkawaokoa iteni kamera ziwafwate ata chooni naamini hiyo ndo mbinu sahihi ya uokozi
 
Kumbe jamaa ni std VII leaver, siyo kwa uandishi huu aiseee!!
 
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?[/QUOTE

Vilio kila kona kuhusu nini? na kwa nini ili kuwaokoa watanzania ni lazima mtu ajitoe maisha yake? hizi nazo ni fikra za karne ya 12.
 
Tayari baadhi ya WAPUUZI humu ndani mmeisha badili GIA TENA.....badala ya kujikita kwenye MAADA mnaaanza kuongea upuuzi wenu kwa hii MAADA ni kithibitisho TOSHA ya kuwa MAKONDA ana mapenzi ya dhati sana na NCHI HII sema tatzo kubwa la WATANZANIA NI WANAFKI MNO TENA MNO......DAAAH ata kama MALAIKA angaetawala NCHI HII.....still kuna wapuuzi humu wangekuja na yao

Mungu akusaidie sana... Yaani andishi hili linakuthibitishia kwamba mtu ana mapenzi ya dhati kwa nchi!
 
Wishful thinking. Jamaa wanajua kuwa watanzania wamelala, wangekuwa wameamka kama ilivyo Misri leo ujinga ungekoma. Mkombozi wa mtanzania anatakiwa kuwa mtanzania mwenyewe, aamke toka usingizini wanasiasa wataacha kutufanya wajinga.

Najaribu kuisoma akili yake, anachotaka tuamini ni kwamba kilio kila kona kinahusu madawa ya kulevya ambayo anasema yeye ndiye kaanzisha vita hiyo, which is not true. Watanzania wengi wana vilio vyao. Wana vilio vya umaskini na kutoweza kujikimu kwa mahitaji yao ya kila siku. He is playing garbage cards, hoping everyone will fall into his politically motivated fiasco....
 
Tunasubiri. Mange amesema leo anakuja kutatua mtanzio..stay tuned.
 
T
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?[/QUOTE.

Taifa lipi unalozungumzia? Tanzania ipo salama sana.Shida ipo kwa wauzaji,wasambazaji na watumiaji wa dawa za kulevya.Uliza waliokimbizwa Msumbiji watakupa maelezo kamili.
 
Tukiwa serious tutapata mtu, na mtu atakigopa kiti hivyo atakuwa makini
Angalia Rwanda wapo wapi sasa
hapa uswahiba, undugu, ukabila na ugirlfriend ndio kipaumbele
Tutegemee kundi dogo kupata maendeleo na si vinginevyo
 
Naamini mtu mwenye mapenzi na nchi hii lazima awe mkweli, rais JPM alisema katika serikali yake mtu akituhumiwa atawekwa kando ili kupisha uchunguzi, mimi sitaki Makonda awekwe pembeni kwa hizi tuhuma ambazo huenda ni za kisiasa na kuchafuana, ila namuomba ajitokeze hadharani kukanusha mambo haya anayotuhimwa nayo. Kuanzia ukarabati wa ofisi, ushiriki wake na GSM, kuhusu vyeti na utajiri wa muda mfupi anaodaiwa kua nao. Makonda is still young and can become a good leader in the future, but if he truly loves Tanzania I would wish him to tell us openly and clear the accusations in a manner that will leave no ston untouched
Mkuu umenena maana tuhuma dhidi ya makonda ni za muda mrefu ambapo kwa mtu aliye makini angekuwa tayari keshazijibu lakini anachofanya ssa ni kutoa majibu ya kebehi ambazo hayafuti maswali yaliyomo vichwani mwa watu wanaohoji lakini namshauri kitu kimoja tu anapaswa kujiandaa maana muda mfupi ujao lazima atumbuliwe ili magu ajisafishe kwa kutofuata kauli zake za awali wakati anaomba ridhaa kwa maana kiongozi anayetuhumiwa lazima amuweke pembeni na ikumbukwe kelele nyingi zimepigwa kuhusu tuhuma za makonda
 
Sema kwa ajili yako siyo kwa ajili yetu,acha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Hao wote wako kwa ajili ya matumbo yao na familia zao


Nimesema kwa ajili yetu watanzania nikimaanisha pamoja nawe. Si unaona jinsi wanavyowashupalia wauza unga wa kuoza na wababishaji wa hapa mjini mpaka mnakuja kupiga kelele humu eti maisha magumu, rudini vijijini mkalime....mjini si kwa kila mtu.
 
Nimecheka Leo!hahahaaa hahaa a!uhakiki wa cheti cha makonda ni muhimu!ichukuliwe kama emergency tafadhali
 
Back
Top Bottom