Nani atatuwakilisha Copenhagen?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Jana Rais kaondoka JA aka the YARD kuwaona ma BREDRINS na nadhani keshafika TRINI...aka TRINIDAD & TOBEGO aka T&T ...KWENYE MKUTANO WA Commonwealth...BI MKUBWA aka LIZ of Windor naye keshaingia kule...sasa the question is in the wake of haya makelele kuwa mheshimiwa hapumziki je nani atakwenda Copenhagen on our behalf?

Je safari hii Pinda atamwachia SHENI au itakuwaje?
 
Kwa sababu ni mkutano kuhusu Mazingira, yako chini ya Shein, kwa maoni yangu, COP2 ni mkutano muhimu kuliko hata Chogum, kwa vile mzee ni mtu wa misele, atarudi na atakwenda pia.
Tayari contingent kubwa la ujumbe wa vyama vya kiraia umejipanga kutia timu wakiwemo wanahabari 5 wakongwe toka kwenye tasnia ya habari za mazingira watatia timu.

Waziri Burian na ujumbe wake mnene wamejipanga tayari na position paper ya Tanzania ili huko angalau tukohoe tusibaki watazamani.
 
kwa sababu ni mkutano kuhusu mazingira, yako chini ya shein, kwa maoni yangu, cop2 ni mkutano muhimu kuliko hata chogum, kwa vile mzee ni mtu wa misele, atarudi na atakwenda pia.
Tayari contingent kubwa la ujumbe wa vyama vya kiraia umejipanga kutia timu wakiwemo wanahabari 5 wakongwe toka kwenye tasnia ya habari za mazingira watatia timu.

Waziri burian na ujumbe wake mnene wamejipanga tayari na position paper ya tanzania ili huko angalau tukohoe tusibaki watazamani.

mhhh..
Kwa hiyo wataenda kuzungumza for the sake ya kuzungumza
nothin serious.
 
Something serious is coming out this time, si umeshasikia Mzee mzima Barak anatia timu kutia baraka zake? wanene wameshakubali kupunguza hizo emmission zao japo kidogo, its better than nothing kwa sababu jjamaa waligoma kabisa kusaini Kyoto Procal.

Position paper ya Tanzania ni kama kukohoa tuu ili kusikika kumbe na huyu mtu yupo, hatuna lolote sana sana labda tutapiga chafya tuu na kusubiri kupangiwa, huku watambaji ni wenye msuli.
 
It would be intereting kuona hiyo manifest na taaluma za hilo kundi tulilolipeleka huko

si ma PER DIEM hiyo...
 
Wanatakiwa kwenda ni watoa maamuzi sio wataalamu pekee sasa J.K kutimba huko ni lazima pamoja na kuuza sura siunajua presidaa wa dunia atakuwa huko sasa nani atakubali kutoa shavu kwa wasaidizi wake katika kipindi hiki tete kuelekea uchaguzi 2010.
 
It would be intereting kuona hiyo manifest na taaluma za hilo kundi tulilolipeleka huko

si ma PER DIEM hiyo...

Kwa upande wa media the team is good, Daily News na Guardian wanapeleka the best in environment ni wakongwe. JET wameendesha shindano la makala bora za mazingira, the best 3 wamekuwa sponsored na Ubalozi wa Uingereza kwenda huko ili kuwajuza Wanzania kinachoendelea kwa angle ya Kitanzania.Ma per diem usipime! wengine hutafuta safari sio ili kuhudhuria mkutano, bali kupata per diem nene na akifika huko ni bussy madukani shooping, wakirudi ni masuitcases manene!.
 
Something serious is coming out this time, si umeshasikia Mzee mzima Barak anatia timu kutia baraka zake? wanene wameshakubali kupunguza hizo emmission zao japo kidogo, its better than nothing kwa sababu jjamaa waligoma kabisa kusaini Kyoto Procal.

Position paper ya Tanzania ni kama kukohoa tuu ili kusikika kumbe na huyu mtu yupo, hatuna lolote sana sana labda tutapiga chafya tuu na kusubiri kupangiwa, huku watambaji ni wenye msuli.
Kyoto Protocol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom