Nani atakae niridhisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani atakae niridhisha?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Think, Aug 9, 2012.

 1. Think

  Think Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ktk mapenzi kitu kizuri ni kuridhishwa sex na umpendae ktk kila steji unayopitia na ukaenjoy. lkn siku hizi mambo ni tofauti sana unaweza kudhani watu wanafanya mazoezi kwa wenzao.

  nani atakae niridhisha ili nizidi kumpenda pale napomwona ktk sura yangu? ndo swali wengi wamekuwa wakijiuliza...

  tatizo nini siku hizi ktk mapenzi mbona weng hawaenjoy na mahusiano yanavunjika kila kukicha?
   
 2. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  tumia vibration machine ni kiboko na mwisho wa matatizo nyege zote zitakwisha.
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  hii ni roho ya mpinga kristo.
   
 4. l

  lila Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ,,,vp ww mwanamke ama mwanaume?Hi hutokea hasa kwa wanawake nafikiri,,
   
 5. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hiyo ni wewe au unawasemea watu! maana si wengine tuna enjoy,kama ni wewe pole!
   
 6. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kama mtu hatosheki unafiki nini kifanyike? unataka akajiuze? si bora kutumia machine kuliko hayo mengine.
   
 7. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ukitaka kuridhishwa, utaridhika tu...! ni kujiendekeza!
   
 8. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mweee. mwenyewe na ridhika hadi nalia ka nungunungu
   
 9. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sorry, mtoa mada wewe ni jinsia gani?
  Siku hizi hakuna kufundwa/kufundika na vijana ni wavivu saana hawajitumi. Labda kama utahitaji msaaa kwenye tuta (ili uridhike) tunaomba anuani yako ..

   
 10. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hivi na utu uzima wako unamshauri binadamu atumie chombo cha umeme kwenye uke? je hilo ndilo suluhisho la kudumu? je unategemea akishaanza kujiridhisha kwa umeme, je kuna **** wowote utakaomridhisha duniani? Kabla ya kumshauri mwenzio njia ya kumpoteza na kumuharibia mahusiano yake moja kwa moja na aidha mme au boyfriend wake ni bora ufikirie madhara ya muda mfupi na muda mrefu kwa hicho unachoshauri. Na kama hauwezi kuona hayo madhara, ni busara kutochangia kuliko kuzidi kumuharibu mwenzio. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kusema jambo ambalo badala ya kujenga linabomoa, tena moja kwa moja.

  Badala ya kumshauri mtu akaonane na wanasaikolojia pamoja na namna gani wanaweza kufanya na partner wake, wewe unamwelekeza akafanya mapenzi na vyombo vinavyotumia umeme kwenye kiungo kilichoumbwa kwa ajili ya kiungo kingine kinachotumia damu na si umeme au betri. Muogope Mungu wako kama unaamini kwamba kuna Mungu.
   
 11. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ujue hiyo roho ya mpinga kristo imekuingia vizuri mpaka huamini in nature, Mungu vyote hivyo alivicntrol mkuu!
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  bora wewe nungunungu.....mi kama kobe.....umewahi kumsikia kobe.....?
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hakuna aliyezaliwa akiwa anajua, kama hakuridhishi ni vyema ukamfundisha ukisema umwache kisa hakuridhishi utaacha wangapi?
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kuridhika ndio kufanyaje tena? Au mlimani UDSM?
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaa yaani Kobe huwa wanalia vibaya
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ndo hiyo sasa.....
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Asante mchungaji!
   
 18. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  ushauri wako mzuri lakini bado kizazi hiki cha giza akisiki ushauri wa wanasychlologia.
   
 19. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kujionea ladha tofauti.
   
 20. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  Kama ni muelewa atakuelewa kaka.
   
Loading...