Nani angetangulia kwa niaba yako hapa JF

Hicho kibazazi chipukizi Nicas Mtei ndo kitakupoteza mazima. afazali hata bazazi lililoshindikana Vin Diesel. Zimwi likujualo halikuli likakwisha, walisema wahenga.

Aiseeee ngoja baadae nije pande hizo unieleze vizuri hapa sielewiiiii kabisaaaaaa

halafu stori ya yule mtu yanichekeshaje kila nikimuwazia naishia kucheka mwenyewe
 
Una story gani na Asprin....ukimchekea huyo utalia....
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel, bado unamfukuzia mke wetu Heaven on Earth??

Nitaanza kukuimbia, "Nasema hivi huyo ni wa kwangu (wee) na hapo alipo tayari ana mimba yangu (wee)...."

Cc: Asprin - kazi uliyonituma nimeshaimaliza, nakuja kuchukua gari langu
Kaizer - ukimuuza mke wangu nachukua huyu mwingine
Nicas Mtei - acha mambo ya ngoswe. Komaza chama kwanza.
 
Ati? Hahahaha
 
mkuu ni nani huwa anamfukuzia mke wake mwenyewe?.....ngoja nimwite aje hapa kuweka kumbukumbu sawa
NB
heshimu mkataba wa amani tafadhali
 
Vin Diesel, bado unamfukuzia mke wetu Heaven on Earth??

Nitaanza kukuimbia, "Nasema hivi huyo ni wa kwangu (wee) na hapo alipo tayari ana mimba yangu (wee)...."

Cc: Asprin - kazi uliyonituma nimeshaimaliza, nakuja kuchukua gari langu
Kaizer - ukimuuza mke wangu nachukua huyu mwingine
Nicas Mtei - acha mambo ya ngoswe. Komaza chama kwanza.
Kazi na dawa. natafuta wa kunikomaza kwanza ndipo nianze kukomaza chama> tayari nshafanya yangu jimboni> nasubiria uchaguzi tu
 
Back
Top Bottom