Nani angetangulia kwa niaba yako hapa JF

Nani angetangulia kwa niaba yako hapa JF

Ikitokea umebanwa sehemu,na unatakiwa kuadhibiwa,ila inaruhusiwa adhabu yako ifanywe na member mwingine ungependekeza nani aifanye kwa niaba yako
Mfano wa Adhabu hizo ni
<Bani ya Milele
<Bani ya Miez kadhaa
<Kushitakiwa kwa Uchochezi
<Kuwekwa Kizuizini
Je ungependa nani abebe Msalaba wako
Mimi mod. yeyote angefaa sana.
 
Ikitokea umebanwa sehemu,na unatakiwa kuadhibiwa,ila inaruhusiwa adhabu yako ifanywe na member mwingine ungependekeza nani aifanye kwa niaba yako
Mfano wa Adhabu hizo ni
<Bani ya Milele
<Bani ya Miez kadhaa
<Kushitakiwa kwa Uchochezi
<Kuwekwa Kizuizini
Je ungependa nani abebe Msalaba wako
Husninyo nipo tayari kubeba msalaba wako, hata kama ni ban ya milele.
 
Last edited by a moderator:
awwwwhhh!! mpenzi ndio maana nakupenda. baby nitakuwa makini nisikubebeshe msalaba, staki upate shida. mwaaaah!!
Hahahaaah!! Sitaki upate taabu mpenzi ya kukosa humu ndani.
 
Mimi ningemtoa
Yericko Nyerere awekwe kizuizin au bani ya milele,ni mzandiki
 
Last edited by a moderator:
measkron mpenzi hebu ukuje hapa nkubebe mizigo yako...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom