Kwa nini tendo la mwanamke kupiga magoti hupotea mara baada ya harusi kufungwa?

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,479
21,955
Hutokea mara nyingi katika Ibada na sherehe za harusi kwa bibi arusi kupiga magoti anapompatia chochote mume wake. Lakini wakishafika nyumbani na kuyaanza maisha huwa hawezi kupiga magoti tena hivi ni kwa nini?


NB :wanaume wanaopigaga magoti siku ya harusi uzi huu hauwahusu
1704638920014~2.jpg
 
Back
Top Bottom